KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
Anajua hawezi kamwe kuwa rais wa USA....mwacheni aseme chochote anachotaka ni uhuru wake!
White Power in White House wameishamuona hawafai hivyo wamemshinikiza aseme maneno hayo kupunguza kura zake,Anajua hawezi kamwe kuwa rais wa USA....mwacheni aseme chochote anachotaka ni uhuru wake!
hakuna ubaya kuruhusu bangi,kumbukeni hata alcohol before 1920s ilikuwa illegal in US na watu walienda jela kwa sababu ya kunywa au kuuza pombe,lakini watu hawakuacha kunywa wala kuuza na cartels nyingi tuu za mafia zikaanza kuuza alcohol na wengi wali make billions huku serikali ikiendelea na vita vyao vya kupinga alcohol baadaye wakaona bora tuu waruhusu then tax it and regulate na hakuna tatizo lolote zaidi ya nchi kupata billions ambazo walikuwa wakipata mafia na matumizi ya kuweka watu jela kwa ajiri ya pombe,ni sawa na madawa ya kulevya tuu/bangi inasound vibaya lakini watu hawataacha kuvuta wala kutumia na cartels wana make billions huku taxpayer wakiambulia war on drugs inayo cost billions kila mwaka,dawa ni kuruhusu then tax it and regulate kama sigara au pombe walivyofanya ...Ron paul ana point hapo na wanajidai kuzuia bangi lakini hapa bangi inapatika kirahisi kuliko hata chupa ya soda ana almost Americans wote ninaowajua ni wavuta bangi tuu au walishavuta sijui kwanini wanazuia maana bila hii kitu hawa hawawezi kuishi.
Sio haki peke yake imagine how much money they would make on taxing the drugs(lol) lakini look at holland where you can go to a cafe for a smoke or Denmark where addicts go to a doctor for synthetic drugs.It would break the cartels and reduce drug related crimes by a huge percentage.I do not think they will ever make drugs legal in the US just like they will never give up their guns.Hata barry aliwahi kuvuta bangi kabla hajaingia ikulu,mzee Ron yuko right ndio mana mimi napenda awe rais,huyu ni champion wa kuamini uhuru wa watu,hapendi mambo ya kunyimana nyimana uhuru kusikokuwa na sababu,kila mtu afanye anchotaka bila kupangiwa pangiwa na serikali inazo kazi nyingi za kufanya sio kufuatilia watu wanavuta nini na wanajamiiana vipi,hayo ni mambo binafsi sana,the govt should stay out of pipo's personal habit..
Huyu mzee atafanyiwa mizengwe ya hali ya ajabu kutokana na kuwapiga vita FED aka International bankersHuyu mzee atashinda nyie mchukulieni kimzaha!