Mitt the Twitt.
In the election of 1928, the Republican Party of Herbert Hoover promised voters "a chicken in every pot and a car in every backyard." (We all know how that turned out.) Now, Mitt Romney is pledging that "If I'm President" every college graduate will be guaranteed a job, Iran will have no nuclear weapons and the United States will dominate the 21st century. And when Romney isn't making fantastic promises about what he'll do when he gets to the White House, he's slandering the current occupant, Barack Obama.
Mitt Romney's Big Promises - and Bigger Lies | Crooks and Liars
Na ndiyo maana Mitt R ameshaanza kuporomoka kwenye polls!!! Waamerika hawadanganywi toto kama sisi Watanzania. They weigh out!!
Kama George W aliweza kumshinda John Kerry, basi sitashangaa kama Romney akimshinda Obama. Hawa watu hawatabiriki, Kerry ni smart lakini ki-GW kilimpiga chini, nilijifunza kitu hapo!.
Al Gore nae bana, eti wewe mpaka kwenu hawakupendi, ila hawa watu hawatabiriki. Wanapenda wale watu wa ajabu ajabu, yaani wale waongo, wababe, na mbumbumbu!.Umemsahau Al Gore ambaye hata hakuhitaji kushinda Florida ili awe rais. Angeshinda kwao Tennessee ingetosha kabisa.
Na 'supposedly' wote Al Gore na John Kerry walikuwa smarter than Bush but he smoked both of them.