Rombo sasa ni too much

mbona hakuna uhalisia na Rombo,kwa nini isiwe morogoro,kagera,mbeya n.k ?au hiyo migomba?
 
Hii nchi usipokaa kijanja siasa zitakupoteza! Sio kila habari ni kweli!!! Tafakari.
 
Nadhani muda wa kuacha masuala ya utani umefika.Watanzania uchaguzi upo mbele yetu kwanini hatufikirii nani wa kutuongoza tunakazana na Rombo Rombo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…