Rombo: Majambazi yawatoa lunch polisi

Rombo: Majambazi yawatoa lunch polisi

Joined
Jan 2, 2013
Posts
16
Reaction score
3
Ukistaajabu ya musa siku zote utaona ya firauni hii ndio hali halisi ilivyojitokeza katika wilaya ya Rombo mara baada ya kamishna wa jeshi la polisi kutoka makao makuu alipofanya ziara wilayani humo.

Baada ya kufanya kazi mbali mbali zilizomleta OCD wa wilaya bwana Majebere aliamua kumpeleka mgeni wake huyo (Isaya Mugulu) kwa wadau mbali mbali huku wadau hao wakiwa sio watu waadilifu kwa maana nyingine ni majambazi na wafanyabiashara haramu pamoja na magendo.

Wananchi walishangazwa na kitendo hicho cha kumuona mhalifu akiwa anaongozana na kiongozi mkubwa na kwenda kununuliwa chakula cha mchana ambacho kiliandliwa katika hoteli moja kule Rongai na majambazi hayo.

Kutokana tukio hilo ambalo kamishna msaidizi wa jeshi la polisi alijua au kutokujua kuwa ameingizwa mkenge kwa kuandaliwa chakula na majambazi kimetangaza neema kwa majambazi hao kuonekana kama miungu watu katika wilaya ya Rombo kuwa wao ni namba nyingine na wasichezewe.

Baadhi ya viongozi na wanachi katika wilaya ya Rombo wamelalamikia kitendo hicho kilichofanywa na OCD kuwa sio cha kiungwana kudhalilisha jeshi la polisi kwa kuwa anawafahau watu wote na hivyo ni kudhalilisha jeshi la polisi mbele ya jamii.

Vitendo vya uhalifu vinaonekana kukithiri kwa kiasi kikubwa ikiwa ni pamoja na unyang'anyi wa mali za watu mf mbao,pikipiki nk pia ubakaji umeshamiri na huku wabakaji wakilindwa na jeshi la polisi katika ngazi ya wilaya.

Jeshi la polisi litume makachero kuchunguza tuhuma hizo zote zina ukweli…..kazi kwenu
 
Mtoto wa Mbwa ni Mbwa,mtoto wa simba ni simba mtoto wa mwizi nae ni mwizi hata akiwa Polisi wote ni ......................we..................... hvyo halishangazi!
 
umbea huu,mbona hutaji hao majambazi ni akina nani. tatizo umesikia stori ya majungu mtaani ukakimbilia kuja kuipost hapa hata kabla ya kufanya utafiti.
 
Nani kakwambia kwamba hao ni majambazi? Acha wivu wa kike! Mwenye mamlaka ya kusema huyu ni jambazi ni mahakama na wala sio wewe. Take it from me na acha kuchafua watu kwa tofauti unazozifahamu wewe.
 
Point of Correction: Isaya Mngulu
 
picha ingekuwa nzuri zaidi huna hata moja? tungejionea wenyewe
 
Aisee Tarimo embu weka vizuri tena hii mambo bwana.
 
hao ulowataja dugu moja tuwe wakwel polis wanaushirika na majambaz c wote lakn wapo na tnajua mfano mdogo papa musofe alex masawe na wengne kibao
 
Hii inawezekana mbona.. Kuna wakati walitaka kumuingiza kingi Presidaa mwenyewe.. Walimpangia kugawa pikipiki zilizotolewa na some controversial "businessmen".. Cijui nani alimgutua at da eleventh hour.. Presidaa akachomoa..
 
jamaa yangu ukiangalia saana hiki ulichopost kimesimamia kwenye majungu, vinginevyo fafanua zaidi kwa maana ya majina ya wahusika hao wa ujambazi, kama ulivyotaja jina la huyo mkuu wa kutoka makao yao makuu ya polisi, tuelezee pia na jinsi wanavyofanya huo ujambazi kiasi cha polisi kuufahamu bila kuuchukulia hatua mpaka ww unashangaa ushirikiano ulivyo kati ya majambazi na polisi kupeana lunch ,vinginevyo una chuki binafsi na polisi/au mtoa lunch.
 
umbea huu,mbona hutaji hao majambazi ni akina nani. tatizo umesikia stori ya majungu mtaani ukakimbilia kuja kuipost hapa hata kabla ya kufanya utafiti.

kwa rombo ndugu yangu sibishi kwani majambazi ni watu wakubwa mno! anakuuzia pikipiki ya wizi na anakupatia garantini kwamba ukikamatwa na polisi/TRA mjulishe! na utakuwa huru kweli kwa kujisalimisha kwa mwalifu. Hapana chezea hii jamaa.
 
kama unajua ni majambazi kwanini hukuwataja toka mwanzo kwani hao mapolisi waganga wa kienjeji acha umbea au umenyimwa hizo pureee
 
Hebu tuangalie kwa angle nyingine nakumbuka kuna mzee wetu alikuwa mkuu wa kituo pale kawe miaka kadhaa iliyopita ikifika miezi ya Dec na Jan hatumii hata sent yake si shule wala matumizi, mpaka wine na pombe kali alikuwa anapewa na hii kwao majambazi ni kama sadaka ya shukrani sasa akili ku kichwa.
 
Ukistaajabu ya musa siku zote utaona ya firauni hii ndio hali halisi ilivyojitokeza katika wilaya ya Rombo mara baada ya kamishna wa jeshi la polisi kutoka makao makuu alipofanya ziara wilayani humo.

Baada ya kufanya kazi mbali mbali zilizomleta OCD wa wilaya bwana Majebere aliamua kumpeleka mgeni wake huyo (Isaya Mugulu) kwa wadau mbali mbali huku wadau hao wakiwa sio watu waadilifu kwa maana nyingine ni majambazi na wafanyabiashara haramu pamoja na magendo.

Wananchi walishangazwa na kitendo hicho cha kumuona mhalifu akiwa anaongozana na kiongozi mkubwa na kwenda kununuliwa chakula cha mchana ambacho kiliandliwa katika hoteli moja kule Rongai na majambazi hayo.

Kutokana tukio hilo ambalo kamishna msaidizi wa jeshi la polisi alijua au kutokujua kuwa ameingizwa mkenge kwa kuandaliwa chakula na majambazi kimetangaza neema kwa majambazi hao kuonekana kama miungu watu katika wilaya ya Rombo kuwa wao ni namba nyingine na wasichezewe.

Baadhi ya viongozi na wanachi katika wilaya ya Rombo wamelalamikia kitendo hicho kilichofanywa na OCD kuwa sio cha kiungwana kudhalilisha jeshi la polisi kwa kuwa anawafahau watu wote na hivyo ni kudhalilisha jeshi la polisi mbele ya jamii.

Vitendo vya uhalifu vinaonekana kukithiri kwa kiasi kikubwa ikiwa ni pamoja na unyang’anyi wa mali za watu mf mbao,pikipiki nk pia ubakaji umeshamiri na huku wabakaji wakilindwa na jeshi la polisi katika ngazi ya wilaya.

Jeshi la polisi litume makachero kuchunguza tuhuma hizo zote zina ukweli…..kazi kwenu

Hiyo ni kali kufanyika hadharani, Lakini we unawaonaje mapolisi wetu siku hizi-chunguza zaidi utagundua zaidi
 
Ukistaajabu ya musa siku zote utaona ya firauni hii ndio hali halisi ilivyojitokeza katika wilaya ya Rombo mara baada ya kamishna wa jeshi la polisi kutoka makao makuu alipofanya ziara wilayani humo.

Baada ya kufanya kazi mbali mbali zilizomleta OCD wa wilaya bwana Majebere aliamua kumpeleka mgeni wake huyo (Isaya Mugulu) kwa wadau mbali mbali huku wadau hao wakiwa sio watu waadilifu kwa maana nyingine ni majambazi na wafanyabiashara haramu pamoja na magendo.

Wananchi walishangazwa na kitendo hicho cha kumuona mhalifu akiwa anaongozana na kiongozi mkubwa na kwenda kununuliwa chakula cha mchana ambacho kiliandliwa katika hoteli moja kule Rongai na majambazi hayo.

Kutokana tukio hilo ambalo kamishna msaidizi wa jeshi la polisi alijua au kutokujua kuwa ameingizwa mkenge kwa kuandaliwa chakula na majambazi kimetangaza neema kwa majambazi hao kuonekana kama miungu watu katika wilaya ya Rombo kuwa wao ni namba nyingine na wasichezewe.

Baadhi ya viongozi na wanachi katika wilaya ya Rombo wamelalamikia kitendo hicho kilichofanywa na OCD kuwa sio cha kiungwana kudhalilisha jeshi la polisi kwa kuwa anawafahau watu wote na hivyo ni kudhalilisha jeshi la polisi mbele ya jamii.

Vitendo vya uhalifu vinaonekana kukithiri kwa kiasi kikubwa ikiwa ni pamoja na unyang'anyi wa mali za watu mf mbao,pikipiki nk pia ubakaji umeshamiri na huku wabakaji wakilindwa na jeshi la polisi katika ngazi ya wilaya.

Jeshi la polisi litume makachero kuchunguza tuhuma hizo zote zina ukweli…..kazi kwenu
Huyu mkuu wa polisi wa Wilaya ya Rombo ni maarufui kwa michongo. Masaa 24 yuko bar na wanawake. Ni namba nyingine kabisa. Hakuna polisi hapo.
 
Back
Top Bottom