Rombo kiboko ya CCM/ pesa mbili Mramba

Rombo kiboko ya CCM/ pesa mbili Mramba

kijiichake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2010
Posts
284
Reaction score
58
Wananchi wa Rombo Ushiri ngome ya aliyekuwa waziri wa fedha Basil Pesambili Mramba wameizika rasmi CCM kwa vitendo. Wamesema wamechoshwa na chama cha mapanya.
 

Attachments

  • 1414533591148.jpg
    1414533591148.jpg
    84.3 KB · Views: 1,500
  • 1414533655356.jpg
    1414533655356.jpg
    73 KB · Views: 1,379
  • 1414533701462.jpg
    1414533701462.jpg
    101.8 KB · Views: 1,315
  • 1414533745812.jpg
    1414533745812.jpg
    69.7 KB · Views: 1,272
  • 1414533813620.jpg
    1414533813620.jpg
    74.8 KB · Views: 1,256
  • 1414533904140.jpg
    1414533904140.jpg
    106.8 KB · Views: 1,244
  • 1414533950366.jpg
    1414533950366.jpg
    45.3 KB · Views: 1,194
  • 1414533999130.jpg
    1414533999130.jpg
    89 KB · Views: 1,199
  • 1414534066070.jpg
    1414534066070.jpg
    57.6 KB · Views: 11,252
Tarakea usiseme holili ndiko kwenyewe
 

Attachments

  • 1414534758353.jpg
    1414534758353.jpg
    48.5 KB · Views: 1,819
  • 1414534806487.jpg
    1414534806487.jpg
    66 KB · Views: 1,040
Kiukweli wananchi wanazidi kuangamia kwa kukoza maarifa kwasababu hii chadema kazi yao ni kusema Hapana na kilele nyingi sizizo na tija hakuna maendeleo waliyoleta
 
Picha zinsonyesha mkutano unawatu wasiozidi 20
Rombo ina watu zaidi ya laki 8. Hiyo ni ratio ndogo saaana sio ya kupigia kelele kuwa umevunja ngome.
 
Kiukweli wananchi wanazidi kuangamia kwa kukoza maarifa kwasababu hii chadema kazi yao ni kusema Hapana na kilele nyingi sizizo na tija hakuna maendeleo waliyoleta

Maendeleo unashindwa ww unaekusanya kodi unatafuna unawarushia mpira wengine
 
Wapi kama wameshindwa kuona hayo mambo ya ukuzanyaji kodi hawawezi kuendelea kutuongoza Bado wajitahidi vema
 
Mi nilidhani wamechagua viongozi wa chama kingine kymbe wamefanya uhalifu? Ngoja wafanye hivyo kwa wazee wa matukio na maandamano uone vita yake
 
Tena jiwe la msingi na benders? Chadema mpaka sasa hawana hata kibanda cha kujengea baiskeli au kushonea viatu Rombo nzima, ni kykodisha na kodi hailipwi au la tunajikodishia kama ilivyo makao makuu. Peoples power and demonstration for change jengo la makao makuu ni la nani vile?
 
ni mwendo wa FUTA DELETE CCM NCHI NZIMA
 
Back
Top Bottom