Romantic Man

Afanyeje na hiyo ndio njia pekee ya kujisafisha..na ndio hapo Kwa kusimamia kucha Kwenye show, hii yote ni kuficha udhaifu..sometimes umarioo huwa unakuja tu.
 
CHAPUTA wamemaindi sana "Mchoraji ametuangusha, kisa cha kumchora mdada kajifunuka shuka ni nini"?
 
Kama huna hela unadhani unatakiwa uweje??ili usifukuzwe lazma uwe mpole
 
Sifa za kivuruge ni exra care; hapa cha msingi mzigo uliwe kwisha!!!
 
Romantic gani? Hapo badala ya sharubati angeeka kadi ya ATM na wallet ndo mrembo angeinua mikono juu kabisa. Yaani kama Maradona baada ya kufunga bao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…