Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,693 Feb 6, 2014 Thread starter #161 Am happy jamani now, asanteni wote tulioanza kwenye huu mchakato. Kila kitu kimeenda sawa nimevumbua zaidi yaa....
Am happy jamani now, asanteni wote tulioanza kwenye huu mchakato. Kila kitu kimeenda sawa nimevumbua zaidi yaa....
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,842 Feb 6, 2014 #162 Bantu lady said: Am happy jamani now, asanteni wote tulioanza kwenye huu mchakato. Kila kitu kimeenda sawa nimevumbua zaidi yaa.... Click to expand... Haya basi tupe jina la huyo alieutetemesha mtima wako
Bantu lady said: Am happy jamani now, asanteni wote tulioanza kwenye huu mchakato. Kila kitu kimeenda sawa nimevumbua zaidi yaa.... Click to expand... Haya basi tupe jina la huyo alieutetemesha mtima wako
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,693 Feb 6, 2014 Thread starter #163 'Valentina' said: Haya basi tupe jina la huyo alieutetemesha mtima wako Click to expand... Best mbona unanitega tena? S
'Valentina' said: Haya basi tupe jina la huyo alieutetemesha mtima wako Click to expand... Best mbona unanitega tena? S
Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 Feb 6, 2014 #164 Mwanyasi said: Embu saidia kutafuta mwenza wa mwenzio!!!!! Click to expand... ahahahahaa.... Mwanyasi huyo atakuwa kesha mpata bana! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwanyasi said: Embu saidia kutafuta mwenza wa mwenzio!!!!! Click to expand... ahahahahaa.... Mwanyasi huyo atakuwa kesha mpata bana!
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,112 Feb 6, 2014 #165 'Valentina' said: Ngoja nimwambie my dady Baba V aje akusaidie Click to expand... Mmmmh Valentina una ajenda ya siri wewe! Baba V atajichukulia Bantu lady badala ya kunisaidia! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
'Valentina' said: Ngoja nimwambie my dady Baba V aje akusaidie Click to expand... Mmmmh Valentina una ajenda ya siri wewe! Baba V atajichukulia Bantu lady badala ya kunisaidia!
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,112 Feb 6, 2014 #166 Lady doctor said: ahahahahaa.... Mwanyasi huyo atakuwa kesha mpata bana! Click to expand... Hivi wewe hauhitaji mke mwenza? CC: Arushaone Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Lady doctor said: ahahahahaa.... Mwanyasi huyo atakuwa kesha mpata bana! Click to expand... Hivi wewe hauhitaji mke mwenza? CC: Arushaone
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,842 Feb 6, 2014 #167 Bantu lady said: Best mbona unanitega tena? S Click to expand... Bhana sijasikia,sema kwa saut watu wote wasikie
Bantu lady said: Best mbona unanitega tena? S Click to expand... Bhana sijasikia,sema kwa saut watu wote wasikie
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,842 Feb 6, 2014 #168 Mwanyasi said: Mmmmh Valentina una ajenda ya siri wewe! Baba V atajichukulia Bantu lady badala ya kunisaidia! Click to expand... Kwani we hutaki kusaidiwa jaman Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwanyasi said: Mmmmh Valentina una ajenda ya siri wewe! Baba V atajichukulia Bantu lady badala ya kunisaidia! Click to expand... Kwani we hutaki kusaidiwa jaman
sungura1980 JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 1,909 Reaction score 1,225 Feb 7, 2014 #169 Bantu lady said: Am happy jamani now, asanteni wote tulioanza kwenye huu mchakato. Kila kitu kimeenda sawa nimevumbua zaidi yaa.... Click to expand... Asante sana malkia wangu,nafurahi sana kuwa pembeni yako,najivunia kuwa na wewe malkia!
Bantu lady said: Am happy jamani now, asanteni wote tulioanza kwenye huu mchakato. Kila kitu kimeenda sawa nimevumbua zaidi yaa.... Click to expand... Asante sana malkia wangu,nafurahi sana kuwa pembeni yako,najivunia kuwa na wewe malkia!
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,693 Feb 7, 2014 Thread starter #170 Mwanyasi said: Mmmmh Valentina una ajenda ya siri wewe! Baba V atajichukulia Bantu lady badala ya kunisaidia! Click to expand... Pole Mwanyasi nimeshampata romantic guy wangu. Umechelewa sana. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwanyasi said: Mmmmh Valentina una ajenda ya siri wewe! Baba V atajichukulia Bantu lady badala ya kunisaidia! Click to expand... Pole Mwanyasi nimeshampata romantic guy wangu. Umechelewa sana.
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,842 Feb 7, 2014 #171 Bantu lady said: Pole Mwanyasi nimeshampata romantic guy wangu. Umechelewa sana. Click to expand... Tangazeni bas hiyo ndoa itakua lin watu tuandae matumbo kuingiza vinono
Bantu lady said: Pole Mwanyasi nimeshampata romantic guy wangu. Umechelewa sana. Click to expand... Tangazeni bas hiyo ndoa itakua lin watu tuandae matumbo kuingiza vinono
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,693 Feb 7, 2014 Thread starter #172 sungura1980 said: Asante sana malkia wangu,nafurahi sana kuwa pembeni yako,najivunia kuwa na wewe malkia! Click to expand... Asante pia naenjoy sana. Maana nimekupata zaidi ya nilivyotaka. Nakupenda sana sana, sijui niseme neno gani mbadala ila unajua ninachomaanisha my hubby 2 be.
sungura1980 said: Asante sana malkia wangu,nafurahi sana kuwa pembeni yako,najivunia kuwa na wewe malkia! Click to expand... Asante pia naenjoy sana. Maana nimekupata zaidi ya nilivyotaka. Nakupenda sana sana, sijui niseme neno gani mbadala ila unajua ninachomaanisha my hubby 2 be.
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,693 Feb 7, 2014 Thread starter #173 'Valentina' said: Tangazeni bas hiyo ndoa itakua lin watu tuandae matumbo kuingiza vinono Click to expand... Hahahaaa usijali kabisa best. My king kuna vitu anaweka sawa atatangaza tu ndoa, ngoja nimpe muda.
'Valentina' said: Tangazeni bas hiyo ndoa itakua lin watu tuandae matumbo kuingiza vinono Click to expand... Hahahaaa usijali kabisa best. My king kuna vitu anaweka sawa atatangaza tu ndoa, ngoja nimpe muda.
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,616 Reaction score 81,120 Jul 30, 2024 #174 Bantu Lady said: Niko mpweke humu jamani. Nahitaji mtu wa kunichangamsha, mwenye kujua mapenzi hasa muda wote niwe na furaha. Pleeease!!! Click to expand... Kijana kutoka kigamboni nipo hapa
Bantu Lady said: Niko mpweke humu jamani. Nahitaji mtu wa kunichangamsha, mwenye kujua mapenzi hasa muda wote niwe na furaha. Pleeease!!! Click to expand... Kijana kutoka kigamboni nipo hapa
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,962 Reaction score 92,242 Jul 30, 2024 #175 Bantu Lady said: Niko mpweke humu jamani. Nahitaji mtu wa kunichangamsha, mwenye kujua mapenzi hasa muda wote niwe na furaha. Pleeease!!! Click to expand... Duh ..hii ilinipita dah
Bantu Lady said: Niko mpweke humu jamani. Nahitaji mtu wa kunichangamsha, mwenye kujua mapenzi hasa muda wote niwe na furaha. Pleeease!!! Click to expand... Duh ..hii ilinipita dah
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,962 Reaction score 92,242 Jul 30, 2024 #176 Bantu Lady said: Am happy jamani now, asanteni wote tulioanza kwenye huu mchakato. Kila kitu kimeenda sawa nimevumbua zaidi yaa.... Click to expand... Eeeh
Bantu Lady said: Am happy jamani now, asanteni wote tulioanza kwenye huu mchakato. Kila kitu kimeenda sawa nimevumbua zaidi yaa.... Click to expand... Eeeh
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,616 Reaction score 81,120 Jul 30, 2024 #177 Tresor Mandala said: Duh ..hii ilinipita dah Click to expand... kitambo sana hii
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,962 Reaction score 92,242 Jul 30, 2024 #178 Vincenzo Jr said: kitambo sana hii Click to expand... Hahahahaha, watu washafanya yao
M Mario Gomez JF-Expert Member Joined Nov 1, 2011 Posts 821 Reaction score 591 Jul 31, 2024 #179 Nadhani kwa sasa utakuwa umempata wa kukuchangamsha mrejesho please