KING 360 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,002 Reaction score 5,202 Dec 24, 2016 #21 Ktk nyimbo itakayomsaidia kuongeza watu kwenye show ni hiyo japokuwa kashirikishwa waTZ tena kaweka k kabisa hata kama anamaana nzuri watapindisha ili waenjoi k
Ktk nyimbo itakayomsaidia kuongeza watu kwenye show ni hiyo japokuwa kashirikishwa waTZ tena kaweka k kabisa hata kama anamaana nzuri watapindisha ili waenjoi k
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,904 Reaction score 44,865 Dec 24, 2016 #22 Saiv hakuna matukio nchi hii sasa ataimba nini bos hakuna dowans wala escrow
evangelical JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 5,980 Reaction score 9,930 Dec 25, 2016 #23 Dr.adams faida said: Majina hewa. Click to expand... Halafu yote yana k
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,264 Dec 25, 2016 #24 Hizo nyimbo zake za harakati umeshawahi kutoa pesa yako mfukoni ukanunua albam yake??? K ni K bwana.