Muda sio mrefu nimeingia kwenye account ya YouTube ya jamaa mmoja anaitwa "FRANK HOLLAND AUTOMOTIVE" nimeona gari kama ile ile ya diamond, Rolls Royce cullinan, rangi ile ile na badge ile ile.
Huyu jamaa ni official dealer wa Rolls Royce na anatambulika,yupo nchini Canada,ingia kwenye hii link
Hapo ndio nimeamini kuwa wabongo wameshikiliwa akili zao na Mange kimambi.Roho ya wivu wa kina Mwijaku h-baba na Mange kimambi imeshawaambukiza watanzania wengi na wao wakaamini kuwa Diamond hawezi kuwa na kitu ambacho wasanii wakubwa kama Davido n.k wanacho.
Hizi picha nime screen shot kwenye video inayoonesha moja ya magari yaliyopo kwenye yard ya Frank Holland,moja wapo ndio hiyo Rolls-Royce cullinan.View attachment 1854766View attachment 1854768View attachment 1854769View attachment 1854770View attachment 1854772View attachment 1854773View attachment 1854774View attachment 1854775View attachment 1854776
mtaa gani unaongelea? thats bullshit childish things aisee. sitetei upande wa mtu yoyote. ila hii sio battle.. kila mtu ana choice yake.. ana maono yake..Ite
Irrelevant kwako mtaani inajulikana kuwa kamtoa nishai...
Mange kimambi huyo [emoji23][emoji23].
Nilikuaga nimemfollow huyu bibie ila nikaona hapana huyu bidada kichwani ni mweupe mnoo, anaweza kuambukiza ujinga. Followers wake wengi akili zao ni 1. Yeye anaenda na upepo wa wasanii ili abaki kutrend.
Tuache chuki bna lile dinga ni kali.
Kila mtandao utauona mbaya kulingana na watu uliowafollow au uliowaruhusu kupata habari zao. Kama ni mdaku, utaletewa udaku, siasa ni siasa ko ivo yani mkuu.Na wewe ni wale wale instagram umefata nini
witnessj tazama furniture hizoMuda sio mrefu nimeingia kwenye account ya YouTube ya jamaa mmoja anaitwa "FRANK HOLLAND AUTOMOTIVE" nimeona gari kama ile ile ya diamond, Rolls Royce cullinan, rangi ile ile na badge ile ile.
Huyu jamaa ni official dealer wa Rolls Royce na anatambulika,yupo nchini Canada,ingia kwenye hii link
Hapo ndio nimeamini kuwa wabongo wameshikiliwa akili zao na Mange kimambi.Roho ya wivu wa kina Mwijaku h-baba na Mange kimambi imeshawaambukiza watanzania wengi na wao wakaamini kuwa Diamond hawezi kuwa na kitu ambacho wasanii wakubwa kama Davido n.k wanacho.
Hizi picha nime screen shot kwenye video inayoonesha moja ya magari yaliyopo kwenye yard ya Frank Holland,moja wapo ndio hiyo Rolls-Royce cullinan.View attachment 1854766View attachment 1854768View attachment 1854769View attachment 1854770View attachment 1854772View attachment 1854773View attachment 1854774View attachment 1854775View attachment 1854776
Ni fake na chafuKumekuwa na mjadala mrefu kuhusu gari aliyonunua star wetu wa muziki wa bongo flavor Diamond platnamuz. Wengine wakisema eti gari hilo sio halisi ni fake, na wengine wakidai ni original.
Aina ya gari ni Rolls Royce cullinan. Kwa mwenye uelewa na haya magari tusaidie. Fake yanakuwaje, na orjino yanakuwaje.
EditingNi fake na chafuView attachment 1854979
Wanasema dubaiIli ujue wachawi na wenye chuki kwa Mondi,kwanza waulizwe Rolls Royce feki zipo na kama zipo zinatengenezwa na kiwanda gani na ni nchi gani iyo wanayotoa copy zake?
Umeona eeh! Na wewe unaweza kabisa kutimiza ndoto zako.. mie lazima nipaki Audi R8, Audi RS6, Audi A7 sportback, BMW M5, Mercedez Benz E350 AMG, na E550 AMG πππ.. Alafu kwa SUV G63 .. alafu nisikie mchawi anasema siwezi nitamuweka kerubu la mgongoWaoooow [emoji122][emoji122]
Sio kwa fenicha hizi duuh[emoji848]
Kwani jamaa alifanya poa kwanini tusisapoti jamani?
Diamond kaishatoboa jamani watake wasitake mweeh
Kwa kweli huyo dogo nchi kama nchi imjengee mnara,ni kielelezo cha vijana wachacharikaji wenye kutimiza ndoto zao.Sidhani kama ni issue kubwa , Tanzanians are so haters na sijui kwanini tumejijengea hyo mentality hii mbaya tunawivu wa kipindukia kwa watu wanaotuzidi maendeleo. Kama ni fake au OG Mondi ndo anajua but the issue amekuwa kijana wa kitanzania kumiliki ndinga kali respect.
Tujifunze kutafuta pesa na sisi tununue tunavyovipenda sio kuponda wakati hata baiskeli
Gari hili haukai ndani kwa makalio yako? Au seat zina nn au msukani wa bluetooth na matairi ya wi fi?Muda sio mrefu nimeingia kwenye account ya YouTube ya jamaa mmoja anaitwa "FRANK HOLLAND AUTOMOTIVE" nimeona gari kama ile ile ya diamond, Rolls Royce cullinan, rangi ile ile na badge ile ile.