Aladeen04 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 3,577 Reaction score 5,780 Jan 10, 2021 #121 dalalitz said: Sasa mimi mbona sitajwi au ni Beki asiekuwa na madhara?ππ Click to expand... Dalali we endelea kula kamisheni zetu tu.
dalalitz said: Sasa mimi mbona sitajwi au ni Beki asiekuwa na madhara?ππ Click to expand... Dalali we endelea kula kamisheni zetu tu.
Aladeen04 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 3,577 Reaction score 5,780 Jan 10, 2021 #122 allypipi said: kada mtiifu wa Lumumba.BIA YETU...kapotea toka October..mwaka jana Click to expand... Kazi si imeisha? Abaki kufanya nini sasa?
allypipi said: kada mtiifu wa Lumumba.BIA YETU...kapotea toka October..mwaka jana Click to expand... Kazi si imeisha? Abaki kufanya nini sasa?
dalalitz JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 3,475 Reaction score 2,078 Jan 10, 2021 #123 Aladeen04 said: Dalali we endelea kula kamisheni zetu tu. Click to expand... Sawa Boss. Ninazo Mali pande zote za jiji la Dar pamoja na Mikoani vielvile. Usisite kunitafuta na kuchagiza watu wanitafute pia, Utabarikiwa π
Aladeen04 said: Dalali we endelea kula kamisheni zetu tu. Click to expand... Sawa Boss. Ninazo Mali pande zote za jiji la Dar pamoja na Mikoani vielvile. Usisite kunitafuta na kuchagiza watu wanitafute pia, Utabarikiwa π
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,924 Reaction score 831,404 Jan 10, 2021 Thread starter #124 dalalitz said: Sasa mimi mbona sitajwi au ni Beki asiekuwa na madhara? Click to expand... wamekuona wametambua uwepo wako
dalalitz said: Sasa mimi mbona sitajwi au ni Beki asiekuwa na madhara? Click to expand... wamekuona wametambua uwepo wako
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,924 Reaction score 831,404 Jan 10, 2021 Thread starter #125 KENZY said: Mbute kabisa wewe... Click to expand... Hili kama ni tusi naenda kuliroga halafu tuone sasa
KENZY said: Mbute kabisa wewe... Click to expand... Hili kama ni tusi naenda kuliroga halafu tuone sasa
Malimi Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2017 Posts 1,291 Reaction score 2,759 Jan 10, 2021 #126 Khantwe
J JBourne59 JF-Expert Member Joined Jan 17, 2020 Posts 952 Reaction score 8,811 Jan 10, 2021 #127 Nipo
Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,175 Reaction score 11,573 Jan 10, 2021 #128 Mshana Jr said: Old skul karibia yote imepotea Click to expand... Tupogo toka 2009 tunaendeleza libeneke haipoi
Mshana Jr said: Old skul karibia yote imepotea Click to expand... Tupogo toka 2009 tunaendeleza libeneke haipoi
Kayoka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 2,366 Reaction score 2,151 Jan 10, 2021 #129 Funza Dume Maria Roza
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,098 Jan 10, 2021 #130 Duh. Hakuna anaenikumbuka. Basi nimezikwa kitambo
Doctizo Mtengwa JF-Expert Member Joined Feb 16, 2019 Posts 841 Reaction score 1,540 Jan 10, 2021 #131 Gudume Feizafox Mama Sabrina Harufu Black sniper Mandella
Doctizo Mtengwa JF-Expert Member Joined Feb 16, 2019 Posts 841 Reaction score 1,540 Jan 10, 2021 #132 Maserati said: Duh. Hakuna anaenikumbuka. Basi nimezikwa kitambo Click to expand... Mi nimekukumbuka Maserati Ila umeniwahi πππΆ
Maserati said: Duh. Hakuna anaenikumbuka. Basi nimezikwa kitambo Click to expand... Mi nimekukumbuka Maserati Ila umeniwahi πππΆ
LaRosa JF-Expert Member Joined Jul 3, 2020 Posts 901 Reaction score 2,888 Jan 10, 2021 #133 folk huyu yeye alitangulia mbele ya Haki... R.I.P
B R A C E L E T JF-Expert Member Joined Nov 11, 2018 Posts 2,358 Reaction score 4,406 Jan 10, 2021 #134 Tukaguane duh!!!! ππ
LaRosa JF-Expert Member Joined Jul 3, 2020 Posts 901 Reaction score 2,888 Jan 10, 2021 #135 Then legend wa kule jamii intelligence anaitwa Humble African Alinifanya nifungue ID Jamii forum.
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,098 Jan 10, 2021 #136 Doctizo Mtengwa said: Mi nimekukumbuka Maserati Ila umeniwahi Click to expand... Aaaagha wapi wewe usinipake mafuta kwa mgongo wa chupa
Doctizo Mtengwa said: Mi nimekukumbuka Maserati Ila umeniwahi Click to expand... Aaaagha wapi wewe usinipake mafuta kwa mgongo wa chupa
Doctizo Mtengwa JF-Expert Member Joined Feb 16, 2019 Posts 841 Reaction score 1,540 Jan 10, 2021 #137 Maserati said: Aaaagha wapi wewe usinipake mafuta kwa mgongo wa chupa Click to expand... Cha mvuvi hakilali pwani.. Ningekukumbuka tuππ€£
Maserati said: Aaaagha wapi wewe usinipake mafuta kwa mgongo wa chupa Click to expand... Cha mvuvi hakilali pwani.. Ningekukumbuka tuππ€£
Aladeen04 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 3,577 Reaction score 5,780 Jan 10, 2021 #138 dalalitz said: Sawa Boss. Ninazo Mali pande zote za jiji la Dar pamoja na Mikoani vielvile. Usisite kunitafuta na kuchagiza watu wanitafute pia, Utabarikiwa π Click to expand... Hahaaaa pamoja mkuu ila kuna kundi telegram la biashara Mshana Jr anae link
dalalitz said: Sawa Boss. Ninazo Mali pande zote za jiji la Dar pamoja na Mikoani vielvile. Usisite kunitafuta na kuchagiza watu wanitafute pia, Utabarikiwa π Click to expand... Hahaaaa pamoja mkuu ila kuna kundi telegram la biashara Mshana Jr anae link
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,924 Reaction score 831,404 Jan 10, 2021 Thread starter #139 LaRosa said: folk huyu yeye alitangulia mbele ya Haki... R.I.P Click to expand... Apumzike kwa amani
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,924 Reaction score 831,404 Jan 10, 2021 Thread starter #140 Narcotic said: Tukaguane duh!!!! Click to expand... Lugha tuu..loh