Roho ya kukataliwa

Ushauri kuntu.
 
Asante kwa ushauri
 
Upo kwenye circular loop...Na hujui Nani chanzo?
Wewe kutojikubali ndo kumefanya watu wasikukubali?? Au watu kutokukubali ndo kumekufanya usijikubali?
Ni kitu kama icho,je nifanyeje?
 
Roho ya kukataliwa inaanza na Wewe mwenyewe kujikataa/kujikinai kuona kama hauwezi Kila jambo ni ibilisi anakutengenezea hiyo Hali, namna unavyojiona ndivyo jamii nayo inavyokuona, jikubali, kubali Hali uliyonayo au unayopitia
Asante
 
Uhalisia kuwa hukubaliki haupo isipokuwa hisia ulizonazo zinakusumbua, hali yako imetokana na malezi, makuzi, mazingira na watu wanaokuzunguka.

Tupo tayari kukusaidia utoke katika hali ya unayojisikia uweze kujiamini na kusonga mbele, karibu sana.
Niko tayari kwa ushauri wako mkuu
 
Ubarikiwe
 
Unataka ukubaliwe ili nini?Upendwe na kila mtu kwani wewe ni Pesa?

Iko ili ukubaliwe na watu lazima kwanza wewe ujikubali.Je unajikubali?Unajiamini?Unajipenda?Unajiheshimu?

Fanyia kazi hayo mengine uanakuja yenyewe
Nashukuru nitafanyia kazi
 
Asante kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…