kush moker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 579
- 367
JinyongeWasalaam wanaJf,
Kama kichwa kinavyojieleza ninahiasil kama nina karoho flani ivi cha kukataliwa na kutokukubalika na watu wanaonizunguka kwani kina mda najiona kama mimi ndo najipendekeza zaidi kwa watu.
Hii hali naiona sasa kama inazidi na inanikosesha amani kiasi fulani.
Je,kuwa katika hali hii kuna uhusiano gani kiimani na kiroho?
Karibu kwa ushauri.
Acha kujipendekezaWasalaam wanaJf,
Kama kichwa kinavyojieleza ninahiasil kama nina karoho flani ivi cha kukataliwa na kutokukubalika na watu wanaonizunguka kwani kina mda najiona kama mimi ndo najipendekeza zaidi kwa watu.
Hii hali naiona sasa kama inazidi na inanikosesha amani kiasi fulani.
Je,kuwa katika hali hii kuna uhusiano gani kiimani na kiroho?
Karibu kwa ushauri.
Yani Kati ya Yai Na Kuku kipi kilianza?Upo kwenye circular loop...Na hujui Nani chanzo?
Wewe kutojikubali ndo kumefanya watu wasikukubali?? Au watu kutokukubali ndo kumekufanya usijikubali?
matajiri hawana hizo roho za kijinga mkuuWasalaam wanaJf,
Kama kichwa kinavyojieleza ninahiasil kama nina karoho flani ivi cha kukataliwa na kutokukubalika na watu wanaonizunguka kwani kina mda najiona kama mimi ndo najipendekeza zaidi kwa watu.
Hii hali naiona sasa kama inazidi na inanikosesha amani kiasi fulani.
Je,kuwa katika hali hii kuna uhusiano gani kiimani na kiroho?
Karibu kwa ushauri.
Unataka ukubaliwe ili nini?Upendwe na kila mtu kwani wewe ni Pesa?Wasalaam wanaJf,
Kama kichwa kinavyojieleza ninahiasil kama nina karoho flani ivi cha kukataliwa na kutokukubalika na watu wanaonizunguka kwani kina mda najiona kama mimi ndo najipendekeza zaidi kwa watu.
Hii hali naiona sasa kama inazidi na inanikosesha amani kiasi fulani.
Je,kuwa katika hali hii kuna uhusiano gani kiimani na kiroho?
Karibu kwa ushauri.
Ndiyolakini mbususu unapata ?