Lukaku marata
JF-Expert Member
- Dec 4, 2019
- 448
- 752
Habari za humu wanajamvi,natumaini mpo poa kabisa.Mimi nikijana wa umri miaka 27 mkazi wa hapa Dar es salaam.
Ningependa kushare na nyie hii hali ya kuwa kama nina roho ya kukataliwa hadi najiona mnyonge sana na mwenye mawazo mara nyingi nikiwa natoa mchango wangu either wa mawazo au kitu wazo langu au kitu changu hakipokelewi bali kitachukuliws cha mwingine kabisa.. Hii hali imenitokea ofisini kiasi kwamba nina mawazo tele,ni hivi kuna kazi ambayo boss wangu ofisini alinipa niifanye sasa baadae akasema hii kazi akabidhiwe mtu mwingine kimsingi huyo mtu ni junior wangu aifanye kuimarisha zaidi sasa baada ya yule junior kufanya ile kazi naona maboss wameipenda kila nikijaribu kutoa kasoro ndo kwanza wanaisifia yaani naonekana useless nabaki nawaza tu,nimeona niwashikishe wadau humu kwa ushauria au kama na nyie mnapitia hali kama hizi na mna manage vipi

Nimesoma nikaishia kucheka, kwani ukiwa senior au mkongwe kazn ndio huwez kupitwa na ma junior, mbona kawaida tu maofisini jamani, labda ungetueleza scenario zaid zilizowai kukutokea adi kukufanya ugeneralize kukataliwa, otherwise kilichotokea ni kawaida kwa ofcn na kazi ikishafanyika ikakubalika na aliyeitoa(boss) huna haja ya kuikosoa tena labda kushauri tu ikiwa utaombwa kufanya hivyo, vinginevyo tulia fanya kazi usije kujitengenezea mazingira magumu ya kazi bure. Saingine jifunze kuchukulia mambo kama unavyo yaona, usiende deep ili usijiumize bure.