KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,292 Oct 19, 2015 #41 baloz89 said: Wakuu, kwel leo nimechelewa kurud home,nafika tu mke wangu kavamia gari kavunja kioo cha mbele,je nimlipishe au nisamehe Click to expand... Watoto wa siku izi sijui ubongo wao umetengenezwa na nini! yani na hili nalo ni la kuja JF kuuliza? JF isingekuwepo je? Ivi na wewe unaitwa baba?
baloz89 said: Wakuu, kwel leo nimechelewa kurud home,nafika tu mke wangu kavamia gari kavunja kioo cha mbele,je nimlipishe au nisamehe Click to expand... Watoto wa siku izi sijui ubongo wao umetengenezwa na nini! yani na hili nalo ni la kuja JF kuuliza? JF isingekuwepo je? Ivi na wewe unaitwa baba?
baloz89 JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 1,228 Reaction score 1,813 Oct 19, 2015 Thread starter #42 Nipo late 20's mkuu nanusa thirty punde....
baloz89 JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 1,228 Reaction score 1,813 Oct 19, 2015 Thread starter #43 Mkuu dhumuni la kuja humu ni kupata mawazo toka kwa wakongwe na hii nadhani ndio dhumun la JF,wew unajitosheleza mkuu?
Mkuu dhumuni la kuja humu ni kupata mawazo toka kwa wakongwe na hii nadhani ndio dhumun la JF,wew unajitosheleza mkuu?
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,456 Reaction score 1,569 Oct 19, 2015 #44 baloz89 said: Wakuu, kwel leo nimechelewa kurud home,nafika tu mke wangu kavamia gari kavunja kioo cha mbele,je nimlipishe au nisamehe Click to expand... Lete habari kiukamilifu mbona siku zote hajavunja? Unataka ushauri wakati hatujui chochote au ndo zile za kutafuta reply za kutosha?
baloz89 said: Wakuu, kwel leo nimechelewa kurud home,nafika tu mke wangu kavamia gari kavunja kioo cha mbele,je nimlipishe au nisamehe Click to expand... Lete habari kiukamilifu mbona siku zote hajavunja? Unataka ushauri wakati hatujui chochote au ndo zile za kutafuta reply za kutosha?
Doto Dotto JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 4,038 Reaction score 3,034 Oct 19, 2015 #45 Muulize why amefanya hivo, huenda ni hasira tuu. then msamehe bure coz ni mkeo jifunze kusamehe 7X70
afande kifimbo JF-Expert Member Joined Aug 31, 2015 Posts 6,303 Reaction score 2,728 Oct 19, 2015 #46 too much ana kichaa au...au ndio unamuacha akutawale hivo
Craig JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 1,676 Reaction score 3,140 Oct 19, 2015 #47 baloz89 said: Wakuu, kwel leo nimechelewa kurud home,nafika tu mke wangu kavamia gari kavunja kioo cha mbele,je nimlipishe au nisamehe Click to expand... cha kufanya kamnunulie keki mwambie unampenda sana na amekufurahisha kuvunja kioo. manake ndo kimekuchelewesha kurudi.
baloz89 said: Wakuu, kwel leo nimechelewa kurud home,nafika tu mke wangu kavamia gari kavunja kioo cha mbele,je nimlipishe au nisamehe Click to expand... cha kufanya kamnunulie keki mwambie unampenda sana na amekufurahisha kuvunja kioo. manake ndo kimekuchelewesha kurudi.