Tanganyika1 JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 423 Reaction score 90 Jun 8, 2011 #1 Unajua tangu nlipokua mdogo nlikua nikisikia kuhusu madeni ya taifa eti budget haitoshi kwa kutegemea mapato ya ndani, mpaka leo hii bado, yaani bado hatuwezi kujitegemea. Hv sisi tuna nini jamani? Inauma sana.
Unajua tangu nlipokua mdogo nlikua nikisikia kuhusu madeni ya taifa eti budget haitoshi kwa kutegemea mapato ya ndani, mpaka leo hii bado, yaani bado hatuwezi kujitegemea. Hv sisi tuna nini jamani? Inauma sana.