Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
Hawana mawasiliano mazuri hawa watu. Mpenzi wako hupaswi kuwa na doubt kama una tagizo. Alivyorudi kuchukua jero angemuambia sina nauli na naondoka sahivi. Huyo mwanaume naye kibokoYaani mwanaume nae hajiongezi? Kaona mpenzi kaja bila hata mkoba nae haulizi nauli unayo mpenzi?
Hawana mawasiliano mazuri hawa watu. Mpenzi wako hupaswi kuwa na doubt kama una tagizo. Alivyorudi kuchukua jero angemuambia sina nauli na naondoka sahivi. Huyo mwanaume naye kiboko
Nadhani huu ni utaratibu mzuri huenda wiki ijayo nikaku surprise na hii..Hahahahahh
Nimecheka sana hapa kama mazuri eti
Polee asee
Hawa ndio wanafanya wanaume tunaonekana viumbe wa ajabu sana. mama pita njoo nikurudishie nauli yako uliyotumia kwenda kwa huyo jamaa.
Hahahah haha, hii kiboko ya yoteAiseee, pole sana, kuna siku na mimi nilienda kumuona mgonjwa(mchepuko) enzi hizo lakini, Nimefika pale tukapiga story akaniambia anataka akanunue maji ya kunywa, nilikua na kama elfu 37 hivi kwenye mfuko wa shati, sasa nazitoa ili nimpe hiyo hela ya maji si akazivuta zote!!!
Halafu sikua na usafiri na ilikua usiku ushaingia, na cm imezima chaji, nilichukia mno, nikamwambia basi nipe hiyo buku mbili nichukue bodaboda mpaka makumbusho then nipande daladala to home akawa anacheka ile kwa dharau.
Akatoka akaenda kununua vya kununua, na mimi nikatoka nikaanza mguu mosi mguu pili huku nikitafakari cha kufanya maana hata umeme ulikua umekatika kote. Ila mpaka leo sijawahi kurudi tena kwake. Alinifanya nimuwazie tofauti sana.
Atakuwa mwanaume wa mikoani huyo sio DarNaomba jina lake tumfute kwenye chama cha wanaume! Hafai hata kidogo....
Acha ubinafisiMaswali yakujiuliza
1; unasema ulikulupuka hukubeba mkoba, je hiyo nauli yakufika had kwa mpenzi wako ilikuwa mkononi?
2; kama jibu ni hapana it means ulichkua kweny mkoba if yes kwanin uliamua kuchomoa sijui "jero" zingine ukaacha! Kwan zingne zilikuwa na uzito gani kubeba?.
Smtymz nyie wanawake msimame hata kwa miguu ynu, had naul ya daladala unatgmea ukarudshiwe!
Sent using Jamii Forums mobile app
HhahahahhhhNadhani huu ni utaratibu mzuri huenda wiki ijayo nikaku surprise na hii..
Nia ni kukupima tu kama unanizimikia kweli au la