Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,942
- 15,707
Mama ushauriMimi si sapoti kitu hapo Mimi kama mwanamke sawa navojua unapokuwa katika mahusiano Na mtu wako sio kila ukikutana nae akupe pesa ujue nae binadamu unaweza kujikuta hana sizani kutokukupa hela nanimtu wako labda useme hakupendi pia wakati anakuita umekurupuka mwanamke jitaidi usikose ata 2000 tu kwa Pochi mfano ungekuta anaumwa kweli ungemuomba sawa mpaka anairudia 500 maana hana kitu Jamani kuwa Na mwanaume sio ndoawe kitega uchumi mfano anakuita upo home huna nauli mwambie baby but sina nauli ujue kama anayo atakwambiaje au anayo atakwambiaje bila mwanaume akiwa Wa kwako kula tunda lake sio mpaka alipe Jamani usingeondoka kwakuwa umemwambia kajibu poa upo kwake tulia msubilie
Sent using Jamii Forums mobile app

Aiseeee kweli ulichukiaishainitokeaga hiyo... nilimblacklist jumla na salamu hata tukionana hapati
sasa unasubiri nini wewe mama pita zako hivi, unakaaje na mwanaume wa aina hiyo wakati wanaume waelewa tupo? shida yenu mnatuogopa sie tulio oa lakini jueni kuwa sisi ndo tunajua kulea. sasa kama alishindwa kukuachia nauli je chai na chakula cha mchana aliacha? jamaa alivyo boya usikute kakutomba uskiku kucha kisha kaondoka asubuhi, dawa ya meno imekwisha na wala mswaki wa akiba hakuna, sabuni ya kuogea hakuna wala hajakuachia, maji ya kuoga hakuna unatakiwa ukanunue mtaa wa pili na wewe ndo huna hata sh tano. Alafu ulivyo jinga baada ya siku mbili utasahau kisha anakuita tena anakumbato unaondoka na mishahawa yako mpaka kwako kwa mguu. PAMBAF SANA.Ninampenz wangu tuna muda kama miez 6 hv..
Jana aliniita kwake kua anaumwa ajisikii poa nami nikaenda kwake kama kumuona kufika kumbe mtu mzima tu et nilitaka nijue kama unanipenda
Sababu mda ulikua umeenda nikaamua kulala kwake
Kilichoniuma tumelala asubuh kaamka kaenda kazini mi naamka hajaniachia hata nauli sijakaa kama dakika 20 hv akarudi alisahau kitu mi sikuambia kitu nikafikiria labda alisahau kama binadam au alikua ninayo,,,kumbe aliacha 500 mezan akairudia akaichukua
Nimeamka sina nauli kibaya nikwamba alivyonishtua anaumwa hata poch niliacha nyumban....
Wapendwa nimeumia sana maana nimehangaika nimemtumia msg my sina nauli...kakaa kimya hajajibu mpaka sasa hv nilichokifanya nikamwambia rafik yangu akanitumia...
Moyo umeniuma sana kwel kwa mtu unaempenda kwel unamfanyia hivyo.. Wht if nisingepata mtu wakumitumia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee, pole sana, kuna siku na mimi nilienda kumuona mgonjwa(mchepuko) enzi hizo lakini, Nimefika pale tukapiga story akaniambia anataka akanunue maji ya kunywa, nilikua na kama elfu 37 hivi kwenye mfuko wa shati, sasa nazitoa ili nimpe hiyo hela ya maji si akazivuta zote!!!
Halafu sikua na usafiri na ilikua usiku ushaingia, na cm imezima chaji, nilichukia mno, nikamwambia basi nipe hiyo buku mbili nichukue bodaboda mpaka makumbusho then nipande daladala to home akawa anacheka ile kwa dharau.
Akatoka akaenda kununua vya kununua, na mimi nikatoka nikaanza mguu mosi mguu pili huku nikitafakari cha kufanya maana hata umeme ulikua umekatika kote. Ila mpaka leo sijawahi kurudi tena kwake. Alinifanya nimuwazie tofauti sana.
Madam Mwajuma jamani embu muelewe mama pita mbona asubuhi alimkumbusha jamaa akasema poa ahahahaaaaaa huku akajikausha,Asubuhi ulimkumbusha?? Maana communication ndio kila kitu. Ungemwambia halafu akaushe ndo useme. Next time ukimfuata mtu ambaye sio mume wako wa ndoa hakikisha una nauli.
Kweli kabisa alipaswa kumuuliza hivyo jamanYaani mwanaume nae hajiongezi? Kaona mpenzi kaja bila hata mkoba nae haulizi nauli unayo mpenzi?
That is not a man let her quite soon.Madam Mwajuma jamani embu muelewe mama pita mbona asubuhi alimkumbusha jamaa akasema poa ahahahaaaaaa huku akajikausha,
Mie nadhani mama pita kaumia kwa mengi ila hajataka kuelezea vizuri tuu
mama pita embu tuambie game ya jamaa yako alikuwa vizuri kweli???? Au ndio alikusumbua tuu??
Maana hapo nahis kuna kilichokuumiza tofauti na kutokupewa nauli.
Bora hata wewe umenielewa maana watu wanatukana tu...sikua katika mazingira ya nyumban nilikua napeleka hela ya upatu na nilikua na elf 5 tu tena ilikua kwenye nyonyo ....ukwel alivyoniambia anatapika sana hawez hata kuinuka nilichukua tu bajaji nakuenda hata akili haikuja kabisa ya kuchukua chochote
Imagine nimeeenda sina hata chup ya kubadil wala mafuta,,,kama nilikua naenda kulala si ningebeba hata kanga jmn any way ni ngum mtu kumueleza akaelewa
Kweli kabisa alipaswa kumuuliza hivyo jaman
Sasa mama pita unakosaje hata nauli ???kama unahela home siungechukua hata bajaji au pkpk ukaenda kumpa hela home???ujue sisi mda nwingine tunajua huwa hamwezi kukosa hata nauli .Ninampenz wangu tuna muda kama miez 6 hv..