Roho imeniuma sana

Na 500 kairudia alaa kweli chuma kimekaza
 
Shoga angu, kama kashindwa hata kukuachia ela ya chai huyo bwana mtihani

invest what you are willing to lose
 


Samahani ila inabidi nikuulize tu......hivi huyo mwanamme ni wa Dar?
 
Bora hata wewe umenielewa maana watu wanatukana tu...sikua katika mazingira ya nyumban nilikua napeleka hela ya upatu na nilikua na elf 5 tu tena ilikua kwenye nyonyo ....ukwel alivyoniambia anatapika sana hawez hata kuinuka nilichukua tu bajaji nakuenda hata akili haikuja kabisa ya kuchukua chochote
Imagine nimeeenda sina hata chup ya kubadil wala mafuta,,,kama nilikua naenda kulala si ningebeba hata kanga jmn any way ni ngum mtu kumueleza akaelewa
 
Mimi nimekuelewa mama, kwa mazingira uliyoyaelezea kwakweli mimi sijaona utegemezi zaidi ya mtu anayemjali mpenzi wake. Sema mianaume yetu ya siku hizi mibinafsiii ndio maana wanakuona sijui namna gani vipi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…