Roho imeniuma sana


To make it worse katumiwa ujumbe mfupi na binti kwamba sina nauli kakaaa kimya hajajibu. Sasa huyu utasema hana au ni dharau tu. Doris Gabriel
 
Wewe muuaji kabisa! Unaenda kumuona mgonjwa hata mia5 huna.. Ungemkuta haongei je? Kwa hiyo umeenda kwa mgonjwa kufanya nini au ulitegemea hilo sura na lishepu lako ndio angepona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Really, that guy is a clown.
Mzigo kala Jamani Dada wawatu kashughulika ipasavyo asubuhi hajapewa kiinua mgongo [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] ila uyo kaka kama mhindi maana ukifanya Kazi kwa hawa wahindi kulipa inshu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha hebu kwenda hukoo.
 
Hahaha hebu kwenda hukoo.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Wanaume Mungu anawaona huko chini bonde laufa kunawaka moto ata ya panodol Jamani [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] khaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha pole, angalia tu nisikupeleke Mirembe.
Unaona sasa badala milembe tumpeleke uyo kaka aliekopa k akakimbia unipeleke Mimi niliemzima[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]naisi huyu jamaa kakuambukiza uchiz sasa tukupeleke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weweee...nimekushindwa tabia..mtizame kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…