Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,157
- 17,051
Ndege_Chombo cha Usafiri.Eti ile ndege inayopita juu sana na kuacha moshi wa mchirizi inaitwaje? Kuna watu wanasema inaitwa robket! Ni kweli? Je kwa hapa Africa inatua wapi, nchi gani? Mwenye ufahamu anijuze tafadhali.
Sie utotoni tulikuwa tunaziita MrusiEti ile ndege inayopita juu sana na kuacha moshi wa mchirizi inaitwaje? Kuna watu wanasema inaitwa robket! Ni kweli? Je kwa hapa Africa inatua wapi, nchi gani? Mwenye ufahamu anijuze tafadhali.
Ndege_Chombo cha Usafiri.
Robket_Rocket
Umeandika kuwa ni ndege tayari.
Sie utotoni tulikuwa tunaziita Mrusi
Roketi mkuu ni habari ingine kabisa.
Yenyewe inatumika kufanya safari za kisayansi za anga za juu kabisa, ikiwa ni pamoja na kwenda kwrnye mwezi pamoja na kwenye sayari zinginezo.
Tofauti kubwa kabisabya roketi na ndege zingine pia ipo kwenye uondokaji wake inapokwenda kwenye mission. yenyewe huwa inaondoka kama risasi kuelekea 90° kutoka usawa wa ardhi wakati ndege za kawaida zinatumia runway.
Angalia video za take-off ya roketi uone jinsi ilivyo msala mkuu... ni kwamba ngoma inachochewa moto mkali sana ili baadhi ya sehemu zake zilipuke na kuipa lift...na inaendelea kupanda juu kwa kuendelea kuungua na kupungua size yake.
Kwa ufupi ni hivo...roketi huwa zinaenda kwenye 'missions' fulani za kisayansi na kiuchunguzi zilizoandaliwa kwa miaka mingi na si kupeleka abiria, mfano tu ni kupeleka satelite huko hewani ambazo zinatumika kwa mawasiliano huku duniani.
Pia ni nchi kama mbili au tatu tu za dunia hii zilizofanikiwa kurusha roketi kwenda huko angani na si kila nchi, kama ilivyo kwa ndege.
Eti ile ndege inayopita juu sana na kuacha moshi wa mchirizi inaitwaje? Kuna watu wanasema inaitwa rocket! Ni kweli? Je kwa hapa Africa inatua wapi, nchi gani? Mwenye ufahamu anijuze tafadhali.
1. Ule mchirizi sio moshi bali ni artificial clouds (Mawingu yasio halisi) ambapo hutokana na Mvuke unaotoka kwenye exhaust unaganda unapokutana na baridi kali ya huko angani. In chemistry exothermic reaction ina-Generate Joto ambalo husababisha moja husababisha products(CO2 + H2O) za hiyo engine combustion kutoka zikiwa na joto sana, kiasi kwamba H2O hutoka kama mvuke (Vapour) na inapotoka katika engine Ghafla inagandishwa na atmosperic temperature. Hapo ndipo unaona mstari mweupe na baadae unapotea,.
Hali hii hutokea kawaida unapowasha Gari lako asubuhi, utaona maji maji yanatoka katika exhaust, lakini hutaona mawingu kwa sababu hali ya hewa katika sea level ni joto kulinganisha na huko angani.