Theorist Mosses
JF-Expert Member
- Jul 16, 2022
- 345
- 253
Kampuni ya spaceX inayo milikiwa na mtu namba moja tajiri duniani "Elon musk" kwa kushirikiana na NASA wamefanikiwa kurusha rocket yao ya falcon 9 kwenye mission ya CRS-26 Cargo ambayo rocket hiyo imeruka kutokea duniani nchini marekani kwenye eneo la NASA's Kennedy space center Florida jana jumanne Nov.22 at 3:54 p.m EST.
International Space Station kwaajili ya kuwapelekea wanaanga waliopo kwenye kituo icho chakula pamoja na vifaa vya kiuchunguzi.Rocket hiyo ya falcon 9 iliruka kuelekea kwenye kituo cha anga cha kimataifa
Aidha, Elon Musk ambaye ni mtu tajiri zaidi duniani ambaye pia ni mmiliki wa kampuni hiyo ya spaceX, anatarajia kufungua kampuni ya mawasiliano ya gharama nafuu nchini Tanzania kupitia satellite zake aina ya "starlink" zenye kasi zaidi ya internet ukiwa ni mpango wa kukuza uchumi wa kidijitali.
Unaweza kutembelea ukurasa wangu wa facebooki Войдите на Facebook
Join us Tanzania Space Mission "WE CAN"