Rock City Mall-Mwanza

supadaudi

Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
86
Reaction score
65
Taarifa: Rock city mall iliopo maeneo ya Ghana Kirumba jijini Mwanza itaanza kazi rasmi tarehe 15/08/2015

Mabadiliko, kuanzia sasa nakuendelea itaitwa JM KIKWETE MALL, na sio ROCK CITY MALL kama ilivyokuwa hapo awali.
 
Hilo Jina haliwezi kufukuza baadhi ya wateja?
 
huu upuuzi hatuutaki bora iitwe ghana mall
 
Acheni unafki mbona CCM kirumba mnaingia ili hali mnakichukia chama? Hilo ndio jina lililoamriwa na mamlaka
 
Taarifa: Rock city mall iliopo maeneo ya Ghana Kirumba jijini Mwanza itaanza kazi rasmi tarehe 15/08/2015

Mabadiliko, kuanzia sasa nakuendelea itaitwa JM KIKWETE MALL, na sio ROCK CITY MALL kama ilivyokuwa hapo awali.

acha kupotosha umma
soko bado alijaisha ndan
mm ni fund na nipo mule ndan kila siku angalia shops hazina hata tiles
 
Attachments

  • 1438552902534.jpg
    44.8 KB · Views: 1,032
Taarifa: Rock city mall iliopo maeneo ya Ghana Kirumba jijini Mwanza itaanza kazi rasmi tarehe 15/08/2015

Mabadiliko, kuanzia sasa nakuendelea itaitwa JM KIKWETE MALL, na sio ROCK CITY MALL kama ilivyokuwa hapo awali.

Kama ni hivyo, haki ya nani siendi tena. Mimi na viongozi wa CCM ni sumu.
 
Jm kikwete mall
 
Attachments

  • 1438766118402.jpg
    118.5 KB · Views: 800
Wadau hapo utaratibu wa pango kwa hiyo mall umekaaje. Kama unataka kupata eneo
 
Kama ni lazima, then JK MALL ni bora. Hii nchi tuna urithi mkubwa sana wa majina kuendelea kutumia ya viongozi kila mahali.

ROCK CITY MALL ndo jina linaloswihi hasa ukizingatia ni ya kwanza ya kisasa Mwanza.

Rock City Mall pia linaendana na usasa na ujana wa jiji hilo. Na kiujumla jina Rock City ni kama limekubalika kuwa nick name ya Mwanza.

NAPINGA KUTUMIA HILO JINA LA 'JM KIKWETE MALL'
 
Ujinga huo walitaka kuuleta Mbeya, eti airport iitwe Jakaya Kikwete International Airport! Tulisema heelll NO! Sasa ni Songwe International Airport!
 
Kwani kalijenga huyo JK ?? Jamani hawa watu wasituletee hasira bure
Kiboko yao Octoba 25
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…