Kutua kwenye kimondo?? Ungeweka link au neno la kiingereza lilotumika ingesaidia. Nafikiri hujui kimondo ni nini. Kuna vimondi vingi sana kwenye anga la juu. Na ni vidogo tu sidhani kama wanasayansi wanaweza kupoteza nguvu zao kwenda kwenye kimondo
Roboti yatua kwenye Kimondo angani - BBC SwahiliKutua kwenye kimondo?? Ungeweka link au neno la kiingereza lilotumika ingesaidia. Nafikiri hujui kimondo ni nini. Kuna vimondi vingi sana kwenye anga la juu. Na ni vidogo tu sidhani kama wanasayansi wanaweza kupoteza nguvu zao kwenda kwenye kimondo
Aisee ni kweli bana. Sijui wanatafuta nini kwenye hako ka dude kadogo hivyo.Teh teh teh teh!
Komondo kweli kweli.
Halafu hio Source utaskia raha mwenyewe.
Naona Mshkaji alikiwa Gongo vibaya.
Aisee ni kweli bana. Sijui wanatafuta nini kwenye hako ka dude kadogo hivyo.
teh teh teh teh!
Komondo kweli kweli.
Halafu hio source utaskia raha mwenyewe.
Naona mshkaji alikiwa gongo vibaya.
hahaaaa, unabisha wakati hujui, aibu yako mwenyewe.
Hivi mtu anabisha vipi huku hajui?
Hebu nielekeze kipi nilichobisha bila kujua.
Wewe na haa jamaa kusema Kimondo imekuwa tayari we umeelewa?
*ulimwengu kwa ndani zaidikimetua ila kimekataa kufungua kitu cha kudril kama ilivyotarajiwa,pongezi sana kwa European Space Agency.Wanataka kujua tulikotoka na tuendako,wanataka kuisoma dunia kwa undani zaidi
una ushaidi, apart from hizo conspiracy ya tu video na picture analysis ?Walitudanganya walitua kwenye mwezi kumbe ni uongo hadi leo hakuna hata mdudu alieweka mguu kwenye mwezi.
Hakuna aliefika kwenye mwezi sasa wewe kinakuaminisha kitu gani kama walifika mwezini ?una ushaidi, apart from hizo conspiracy ya tu video na picture analysis ?
endelea kukaa na ubishi wako..! sisi tunasonga mbele hatuwezi kuhangaika na mtu kama wewe,
For starters kuna actual videos and soil samples from the moon. And just think technology ilipo, a robot is walking on Mars na kutuma pictures and data. Another one has just landed on a Comet moving at more than 40,000miles per hour, after 10 years of tracking and millions of miles away! Kweli our close satellite ndo ishindikanee kupeleka mtu mpaka leo. Anyways proof ya mwisho kwa dis believers hua ni kwamba, Scientists walipofika mwezini waliacha retro reflectors on the surface kwene known location ambazo kama ukiwa duniani una laser yenye nguvu ukimulika unapata reflected signals, kuna alot of videos of people with the lasers wakifanya hii test all over the world na kupata majibu, sasa mkuu sijui kwa wewe point yako iko wapHakuna aliefika kwenye mwezi sasa wewe kinakuaminisha kitu gani kama walifika mwezini ?