Robo heka inauzwa moro

mikagati

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
320
70
Nauza robo heka morogoro njia ya kwenda Mbeya umbali kutoka bara bara kuu ya Mbeya ni kama mita 300, sehemu moja inaitwa MINDU kabla ya kufika Mzumbe university, shamba lipo Morogoro Manispaa halijapimwa, bei ni 2Million. Kama upo tayar PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom