Wow, utadhani hiyo hotuba ya Mugabe nayo ilitolewa kwa kiswahili! Masikini,
kalokolaVIII, amini usiamini kuna lugha ya dunia na kuna lugha ya kitaa! Hata hapa Afrika Mashariki tu Kiswahili hakipenyi na FYI hata huko Uchina, pamoja na idadi yao kukaribia bilioni moja na nusu au asilimia 20% ya dunia, lugha ya dunia inapewa heshima yake ! ...zaidi ya watu milioni kumi wanaweza kuongea Kiingereza safi huko China!
Tanzania ina watu milioni 45 sawa na asilimia 0.6 ya dunia...Kiingereza kinaongelewa na watu zaidi ya bilioni duniani hivyo kuifanya iwe kama Kiswahili cha dunia. This info is a fact whether you like it or not!