Robert Mugabe Rais Mtemi wa Zimbabwe

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,266
Reaction score
98,318
Nimeamini kabisa kuwa siku hazigandi jamani huyo hapo pichani ni aliyekuwa Rais mtemi na katili wa waliomkosoa pale Zimbabwe ndugu Robert Mugabe kwa sasa anaomba radhi kwa kila aliyemkosea au kumkwaza kipindi akiwa kwenye kiti pale Ikulu.
 
Na alio wahujumu kwa hila pia nao wanamuombea azidi kuteseka
Ukiwa kiongozi huwezi kufurahisha kila kundi na lawama hazikwepeki..

Isitoshe sioni anachoteseka Mzee hapo zaidi ya uzee wake hatua ambayo ni ya kawaida na bahati kwa binadamu kuifikia..!
 
Ukiwa kiongozi huwezi kufurahisha kila kundi na lawama hazikwepeki..

Isitoshe sioni anachoteseka Mzee hapo zaidi ya uzee wake hatua ambayo ni ya kawaida na bahati kwa binadamu kuifikia..!
Pia kumbuka siku hazigandi
 
Hiyo inatoa ujumbe mmoja tu kuwa madaraka ni dhamana na tunapaswa kuyatumia vyema madaraka tunayopewa.

Ni makosa makubwa iwapo tutatumia vibaya madaraka tuliyonayo, kwa kuwatesa wapinzani wetu, kwa kuwaweka ndani kwa visa tu na visasi

Cha muhumu ni kuwa unapokuwa na madaraka hayo hupaswi kuyatumia vibaya kwa kiwakomos watu, kutumia nguvu zako za kimlaka kwa kuwaweka wapinzani wako ndani

Kwa kuwa siku hazigandi, kwa kuwa huwezi jua kuwa mtu unayemtesa Leo, Mungu anaweza kumpa Neema na akamuinua, akawa mtu mzito sana kesho na wewe ukataka msaada wake!
 
Mzee kakalia urais hadi kachoka mwenyewe kaachia sasa ajute nini hapo alipofikia ni Mipango ya Mungu umri umeenda ulitaka afanye nn tena kwani mwacheni babu wa Afrika apumzike
 
Hivi Gire bado wako naye au amemkimbia baada ya urais kufika kikomo?
 
Miamba ya kusaka ukombozi wa Southern Sahara kabaki Mugabe na Kaunda
 
Hajaacha kwa hiari yake mkuu kuwa muwazi angalau kidogo
Mzee kakalia urais hadi kachoka mwenyewe kaachia sasa ajute nini hapo alipofikia ni Mipango ya Mungu umri umeenda ulitaka afanye nn tena kwani mwacheni babu wa Afrika apumzike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…