Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,843
- 21,094
Exactly, as long as hajaua wala kulazimisha mtu kwenda kwenye hizo semina na kununua hivyo vitabu basi hana baya.😅Akili ya kupata pesa ni akili nzuri sana kivyovyote, hata kwa ujanja mzuri ki smart fulani.
Bila kuua na kuumiza wengine kimwili.
Kudanganya watu katajirika kupitia real estate kumbe katajirika kwa kufundisha watu kuhusu utajiri. Kushirikiana na kampuni ya upatu.Utapeli upo wapi hapo hicho kitabu kimetengeneza matajiri wengi sana
Na ili auze semina anapotosha watu kwa kujidai Guru wa biashara. Hana tofauti na Kiboko ya Wachawi🤣Kiyosaki amewahi firisika baada ya kuandika vitabu vyake na kuuza nakala nyingi. Uwezo wake kusimamia biashara ni mdogo sana hivyo kubaki kwenye kula hela za semina sio ajabu.
Vitu anavyotaja kwenye vitabu vyake havitekelezeki ndio maana yeye mwenyewe alitumia mbinu hizohizo na akafirisika akawa na madeni mengi huku akiwa na assets chache.Na ili auze semina anapotosha watu kwa kujidai Guru wa biashara. Hana tofauti na Kiboko ya Wachawi🤣