Robert Gabriel Mugabe

Mastress ya kuporomoka hayo juzi tu alikuwa anatembea now on machela
 
Haya mnyamwezi wa mboka manyema... kwa Isike 😎😎 najua mnapenda sana chakula cha mitiano, na uzuri mnajua kuki andaaa

Saanaa utasikia sauti ya upolee..

Wamishakola bhaabhaa mwangalukaa (hapo goti limegusa ardhi) halafu unampatia viazi vitamu vilivyochemshwa na maziwa..

Mchana karanga nazikaanga na kuzisigina mwenyewe (blenda) haihusiki kisha nazikoroga kwenye mlenda (nsansa au nswalu) kuku wa chienyeji anachemshwa tuu na ugali wa motoo... Weeh mwanaume anatupiamo tuu kinywani huku anapiga taswira kurudisha mashambulizi jinsi atavyokuwa anatupiamo mikito ya maufundi yote hayo hehehehehee


Na huko tukiwa tunatupiwa hatuachi kumuimbia ili mikito iendelee tuu... Utasikia...

Changanya wangu basikeli changanya wangu eehehehehheheheeee

Weeeweeeee am so excited it's already weekend.....

K' Matata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…