Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,799
- 165,546
😂😂😂😂🤣🤣🤣Kumbe ndo hivyo?Ndo maana Jiwe amesema hana appetite ya kula pilau la leo la Christmas?
Hahahahahahahahah! Bahati mbaya mnatupaGA updates za kufaili kesi lakini updates za kinachoendelea baada ya hapo hamtuambii. Mkumbushe Maria Tsehai atutaarifu kesi yake naye imefikia wapi! Ahahahahahah!!!Hii ni tweet alioiandika siku ya jana:
Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!
Zikianza mtasema mabeberu!!Hahahahahahahahah! Bahati mbaya mnatupaGA updates za kufaili kesi lakini updates za kinachoendelea baada ya hapo hamtuambii. Mkumbushe Maria Tsehai atutaarifu kesi yake naye imefikia wapi! Ahahahahahah!!!
Anzeni kutupa mrejesho wa mahakama ya mafisadi kisha nanyi mtapewa.Hahahahahahahahah! Bahati mbaya mnatupaGA updates za kufaili kesi lakini updates za kinachoendelea baada ya hapo hamtuambii. Mkumbushe Maria Tsehai atutaarifu kesi yake naye imefikia wapi! Ahahahahahah!!!
Ngoja zianze! Ila msijekuwa kama fisi asubiriae mkono wa binadamu kudondoka! Ahahahahahahah!Zikianza mtasema mabeberu!!
Kama huifuatilii na hujui kazi ambazo imeishafanya sio kosa langu.Anzeni kutupa mrejesho wa mahakama ya mafisadi kisha nanyi mtapewa.
Ni longo longo tu na porojo! Ni mjinga tu anayeweza danganywa!Kama huifuatilii na hujui kazi ambazo imeishafanya sio kosa langu.
Kama mpaka leo unaamini Lissu angekuwa Rais wa Tanzania: Ahahahahahhaha! Nitakuaminishaje tofauti kwenye hili la Mahakama ya Mafisadi? Ahahahahahahahah!Ni longo longo tu na porojo! Ni mjinga tu anayeweza danganywa!
Kuna sehemu nimemtaja Lissu??? Utakuwa mmoja wa "praise team" si bure!Kama mpaka leo unaamini Lissu angekuwa Rais wa Tanzania: Ahahahahahhaha! Nitakuaminishaje tofauti kwenye hili la Mahakama ya Mafisadi? Ahahahahahahahah!
Anzeni kutupa mrejesho wa mahakama ya mafisadi kisha nanyi mtapewa.
Utaendelea kushabikia UPUUZI badala ya kuungana na WaTz wenzako kuijenga nchi hata katika mazingira yasiyokufurahisha.Hii ni tweet alioiandika siku ya jana:
Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!
Nyingine ni hii ikihusiana na hiyo ya hapo juu:
All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
Kuna upuuzi kuzidi ule wa kuingia na mabegi ya kura kwenye vituo vya kupiga kura?Utaendelea kushabikia UPUUZI badala ya kuungana na WaTz wenzako kuijenga nchi hata katika mazingira yasiyokufurahisha.
Hizo kesi hazina kichwa wala miguu zaidi kudanganya nafsi zenu ambazo zinajua ukweli.
Kama huifuatilii na hujui kazi ambazo imeishafanya sio kosa langu.
Bila shaka wewe ni NYUMBU WA UFIPA! Ahahhaahahahah!Ww ni miongoni mwa wale nguchiro wa Lumumba
Utaendelea kushabikia UPUUZI badala ya kuungana na WaTz wenzako kuijenga nchi hata katika mazingira yasiyokufurahisha.
Hizo kesi hazina kichwa wala miguu zaidi kudanganya nafsi zenu ambazo zinajua ukweli.
Hii ni tweet alioiandika siku ya jana: