Robbers grab 4bn/- gold in Tabora | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Robbers grab 4bn/- gold in Tabora

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, Apr 23, 2009.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,768
  Likes Received: 83,097
  Trophy Points: 280
  Wednesday April 22, 2009

  Robbers grab 4bn/- gold in Tabora

  PIUS RUGONZIBWA, 22nd April 2009 @ 00:00,

  At least 3,500 ounces of gold worth $3m (about 4bn/-) was stolen in what is described as an armed robbery heist at the Resolute (Tanzania) Ltd gold mine at Lussu in Nzega, Tabora region, the mine’s stockholders reported yesterday. The head of the Economic and Financial Crimes unit at the police headquarters, Deputy Commissioner of Police (DCP) Samson Kasala, confirmed the incident but declined further details pending ongoing police investigations.

  “We are closely following up the development from the Regional Police Commander in Tabora … we’ll soon be in a position to give more information. As we talk now, the RPC is at the scene conducting preliminary investigations,” DCP Kasala said over the phone yesterday. Sketchy details from a statement by Resolute Mining Ltd to the Australian Stock Exchange yesterday said the robbers got into the gold vault and snatched the gold that was held in readiness for shipment.

  “The mine site has a security force and the company is reviewing security procedures. It is the first time gold has been stolen from the operation,” said the Company’s Chief Executive Officer, Mr Peter Sullivan, in a statement. However, the company has reported that it will recover the loss from its insurance cover but could not hide its shock following the theft. “Everyone is in a bit of shock there … it is not something that happens very often,” the CEO said.

  DCP Kasala said the incident indicated that criminals were now using modern stealing techniques but added the police had the capacity to deal with that decisively. “We will deal with this urgently and decisively … consistently reporting the developments to the public … We are on top of it,” he pointed out. The Tabora Regional Police Commander, Assistant Commissioner of Police (ACP) Emson Mmari, could not be reached for comment but, according to DCP Kasala, he was fully engaged in leading the investigation team at the scene.
   
 2. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,585
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Haya mambo ya wizi wa dhahabu yameshika kasi sana, kuna kipindi Geita Gold Mine nayo iliibiwa kiasi kikubwa tu cha mchanga wa dhahabu.
   
 3. Bob

  Bob JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2009
  Joined: Sep 10, 2007
  Messages: 277
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Believe me "Huu ni Mchanga wa Macho"
   
 4. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,585
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Bob, Toa facts Mchanga wa macho kivipi?
   
 5. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Jana kwenye taarifa ya habari walisema ni worth US$300,000,000.....Nilishangaa sana, sasa naona hapa wamesema US$3...Which is which?

  Anyway the security at the mine site is questionable!
   
 6. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,585
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Next Level, Vyombo vyetu vya habari ndivyo vilivyo, Huwa havifanyi utafiti juu ya habari wanazo ziandika. Check on this link; Resolute hit in $4.4m Tanzanian gold heist : thewest.com.au
   
 7. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Haukuwa mchanga wa dhahabu, ni dhahabu halisi... ilikuwa ya mamilioni nayo na jamaa walioiba walikamatwa, wakashitakiwa na kufungwa miaka 30 kila mmoja
   
 8. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Yap! Jana nilishangaa sana kuona kwenye taarifa ya habari wanatangaza kitu kama hicho. Eto dhahabu yenye thamani ya USD 300M....Nikikataa kata kata. At least now it makes sense, USD 3m is reasonable!
   
 9. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Hivi mtu akiiba USD mil. 3 kwa nchi maskini kama Tz kifungo chake ni mda gani? na jee sheria inasema lazma kwanza arudishe alichokiiba kwanza au anafungwa tu??
   
 10. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Hata mimi niliposikia ni USD 300 mil. Nilipata wazimu!!! Lakini pia inawezekana!!! Unajua huwa wanaficha dhahabu wakipanga mipango ya kuivusha/kuitorosha!!!! Pengine, ni yale ya "Malipo ni hapa hapa duniani". Tuwaulize katika vile vitabu vyao vya record zile ambazo hukaguliwa ili pia kutoa kujua makato mbalimbali kama mirahaba, kodi, etc wameandikisha kiasi hicho kilichoibwa?????
   
 11. M

  Mkereme JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2009
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 251
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mwanajamii!
  Umenikuna sana na sehemu ya mwisho''Tuwaulize katika vile vitabu vyao vya record zile ambazo hukaguliwa ili pia kutoa kujua makato mbalimbali kama mirahaba, kodi, etc wameandikisha kiasi hicho kilichoibwa''

  Nani alikuambia wanakagua? Unamfahamu nani mwenye kumiliki Resolute au unacheza nini!!!Teheete!!

  Resolute ya pale Lisu ilikuwa kampuni ya wadosi kutoka Australia. Wale walichimba na kuchimbaga wakajikata kislesi wakaenda kula walichochuma for almost 10 years kwao!

  Fisadi Rostam Aziz ndie aliuziwa baada ya kupata mapesa aliyojipatia kwa msaada wa Fisadi Baba lao Benjamin William Mkapa na serikali za CCM ILIYOPITA na hii ya Mkwere imetoa full blessings!

  Mkwara wa JMK wa kuunda tume ya madini is the same old story na ajabu kijana Masha ambaye kampuni yake ya IMMA ni mawakili wa makampuni yote ya madini alipewa hilo jukumu ni sawa na ngedere kulinda mahindi!! Uliona wapi? Walisema ''ukicheka na nyani utavuna mabua!''

  Hii serikali ya vichaa mlisema wakapimwe akili wanendelea na usanii? Baada ya kubumbulika scandal la Alex Sterwart ni nani anafanya Audit ya hiyo mogodi na uchimbaji wake kama huu sio uchizi! Au anafanya Ludovick Utouh!!!

  Source kubwa ya utajiri wa RA ni serikali hii hii inayoimba umaskini kama mtaji wa kutembeza bakuli .Kama Serikali ilimpatia dhamana akapewa mkopo wa USD 30m kutoka WB ! KUNA mtu anaweza kusema kama hizo pesa alilipa au limekua deni la taifa! Ndio maana deni linazidi kukua pamoja na misamaha yote!

  Kwa mtaji huo aliyeibiwa ni mwizi wetu !! nikiuke maadili niwapongeze hao majambazi it seems wana taarifa kwamba yule ni jambazi mwanzao period!

  Kama in a single deal the robbers scooped gold worth USD 3m je kwa miaka waliyokaa hapo hao Ausie walipeleka kiasi kama hicho kwa ndege zaidi ya mara elfu kadhaa ndio maana wakachomoa you know kula na kipofu!

  You cam now see the light at the end of the tunnel why Marehemu Nyerere hakutaka tuvune hayo madini and these bastards with Mkapa in only 10 years wanatuachia mashimo, vumbi na jangwa!!!!!
   
 12. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,585
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Kwani sasa hivi Resolute inamilikiwa na nani?
   
 13. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama anahisa Resolute Tanzania Limited. Je, ni ndugu yake na Rose Aziz au Hamza Aziz yule alikuwa IGP zamani kama sikosei? Naelewa kuwa Caspian ni ya Rostam na ndo Earthmovers wao kule.
   
 14. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,585
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Kwa ukweli kabisa Resolute Mining Ltd bado inaendeshwa na Australians na ndio maana walipoibiwa dhahabu walitoa press release kwenye ASX. Caspian ni Contractor Company pale Resolute Tanzania - Golden Pride Mine.
   
 15. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hii ni janja yakupunguza kelele za watanzania 'kuibiwa'.Toka lini mwizi akaibiwa.
   
 16. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mafisadi wamezidiana kete tu hamna lolote hapo ,kama watakamatwa wahusika basi wataambiwa warudishe japo kidogo ili kuzuba mapengo , hapa Tz majangili na maficho yao yanajulikana na polisi wanalijua hilo, kuna magenge ambayo polisi wamo na wanajuana na kila mmoja atakuwa analijua genge la mweziwe na ustadi au maeneo wanayoshambulia ,yaani likitokea tendo la ujambazi basi wenyewe wanajua kuwa huyo ni fulani au hilo ni kundi la fulani na hakuna kuharibiana kazi na ikiwa majambazi wamevuka mipaka na kuwagusa wakubwa basi hao huwa wanateketezwa kabisa ili kupoteza ushahidi na kuzidi kulindana ,au uwongo jamani ?
   
 17. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Mwiba,

  Hapo umeongea! basi ni kuzidiana kete tu maana wezi ni wengi sana ndugu yangu!
   
 18. Kipunguni

  Kipunguni Senior Member

  #18
  Apr 23, 2009
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mzalendohalisi,

  Kwani hiyo dhahabu ni yako?? Hiyo dhahabu ni ya wamiliki wa Resolute ... wewe kama ni mtanzania jamaa anaweza, kama akipenda (akideclare hiyo amount), kukupatia 3% royalty ... piga hesabu mwenyewe ni kiasi gani anweza kukupa, kama akipenda.

  Mweeh, inauma sana!
   
 19. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ndugu yangu Farmer kwa Tanzania yetu lolote linawezakana, huo mgodi bado waweza kuwa ni wa mafisadi walio vaa ngozi ya wa Australia, umesahu hata RICHMOND, DOWANS, KIWIRA, MEREMETA zote hizo hizo pia tuliaminishwa ni za wawekezaji toka nje, lakini ukweli wake.. we acha tu!

  Hapo ndipo hata sioni ajabu kuwapongeza wezi walio waibia wezi wao japo ndo hivo bahati yao mbaya wamekamatwa!
   
 20. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Yaani hawa jamaa wanatuibia isivyo kawaida. Dharau yao iko palepale kuwa waafrica wana akili kama za manyani na viongozi wao (waafrica) hawana uchungu na maendeleo ya nchi zao. Kwahiyo wanajua hamna tutakalowafanya. Wanachimba dhahabu na kuificha na kisha wanairusha kwa ndege zao moja kwa moja kwenda kwao. Si-suport ujambazi hata kidogo lakini wacha nao waibiwe kama wanavyotuibia.
   
Loading...