Roads in Dubai

Karibu Dubai.. karibuni sana...jiji la watu aina zote... MULTInationals... karibuni tena..
 
Ngoja na sisi tujaribu na huyu bwana barabara wetu, labda tunaweza fika hata robo ya huko. Inshallah
 
Musijali sana kule Bukoba kutakuwa zaidi hapo,sasa hivi wapo kwenye kuchangishana kwanza.
 
Na sisi ile ya Tazara si itakuwa hivyo hivyo?
 
MAGU anayo kazi. Naona NYANZA ROAD wake wana mwaga KOKOTO/ZEGE barabarani kutuhadaa kuwa ni rami!! Tujiandae na tairi mpya baada ya miezi 6!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…