Kuna mambo mazuri ya kujifunza kutoka wa wasemaji wote waliohojiwa. But kwa watu wanapenda kusoma biblia na quran bila
"context" ni kazi na ndo maana tuna matatizo mengi mbili za imani zote.
Tunakuja na tafsiri amabzo si sahihi.
Context context context.
- Kiliandikwa lini?
- Katika mazigira yapi?
- kwa sasa kitafwiriwe je ?
- etc
haya ni maswali muhimu . Tukiwa tunameza tu hizi wakoritho na wakolosai zetu kazi tunayo
ukoloni wa hizi dini tulioachiwa utazidi kuturidisha nyuma.