Kwema sana ndugu,
Nilianza na ratiba ya kushusha vipande viwili kwa siku, saa sita mchana na saa moja usiku.
Lakini kwa sasa nashusha kipande kimoja kwa siku, yaani saa moja usiku pekee.
Maana vimebaki vipande vichache sana ili kuikamilisha riwaya hii.