Nimejifunza meng ndan yke kikubwa zaid ni rafiki wa kweli ni yule aliyetayar kufanya chochote kwa ajili yko bila kujali yeye atathirika vp. Ni vigumu kumpata kwa dunia tulonayo. Big up
Kweli hapa ni roho mkononi, Betty na upendo wa aina yake.., nani yuko tayari kufa kwa ajili ya furaha ya rafiki yake?? Honestly speaking.., I'm not ready