RIWAYA; Mkanda wa Siri

Huyu Malolo katika sehemu hii alitakiwa kuonesha umahiri zaidi katika uwezo wake wa kufikiri - Kwa sababu usafiri wa kutoka zbar ni meli na ndege ...Kwa nini alidhani wezi wa mkanda Ni lazima watapanda meli tu na si ndege? Hapo kuna namna uiweke sawa mkuu......


Kipindi binunu qnamhoji chief yeye alijikinga vip na hewa yenye spray ?

Kazi ,nzuri!!
 
Ndio ninii hivi kuquote story
 
Bwana Simbaniani, usisahau kuwa binunu na mwenzake walienda kwenye kasri la Chief wakiwa na mitungi ya oxygen hewa Safi wakati wanawapulizia hewa ya sumu.
 

Kuwa mstaarabu, unatutesa tunaotumia simu ku_quote maelezo marefu hivo!!
 
Kiongozi hongera kwa kitabu (riwaya ) mzuri! Nakuomba utoe kitabu ili uweze kuuza Ndg angu
 
Kiongozi hongera kwa kitabu (riwaya ) mzuri! Nakuomba utoe kitabu ili uweze kuuza Ndg angu
Kitabu anacho kipo kwenye App inaitwa Waridi app nenda play store kwa android users sijajua Ios kama ipo utakinunua na kukisoma bila shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…