Kikomo kitabu kimetoka sh 10,000 kipo kariakooNinaomba mwenye riwaya ya kikomo atuletee humu kama ambavyo riwaya za njama na hofu zilipoletwa,ahsante
Nicheki kwa pmKariakoo sehemu gani?
Kuanzia msimbazi police hadi gerezan kituoni. Utakutana na wauza vitabu upande wako wa kushoto ukiwa unatoka msimbaz policeKariakoo sehemu gani?