Yah niemeona!! But Kelvin huwa anafikirisha zaidi tatizo pale anapotumia hata page mbili kuelezea sebule mojaKudo900 .....umeyaona maoni ya mkuu haya"""!?..Any way ngoja nitapitia vyema na riwaya za kelvin...ila kwa sasa "" Patrick ndiye anaye nikonga moyo na akili zaidi ""
Aiseee....kwani " hayupo WARIDI "...kama yupo why akose hiyo support"...... ila huyo maundu nae " mhhh""......nihatari nyingine piaYah niemeona!! But Kelvin huwa anafikirisha zaidi tatizo pale anapotumia hata page mbili kuelezea sebule moja
Ila kiukweli huyu jamaa anajua kuliko neno kujua,japo anaboa kwa story ndefu sana so inahitaji uwe na muda wa ziada kufuatilia
Kingine sijui kwanini,wandishi wenzie hawampi sapoti kama wanavyosapotiana wao
Watu Kama
Maundu mwingizi Hussein tuwa,ibrahim gama,Fadhy mtanga,Inocent ndayance,beka mfaume,amri bawji,musa banzi nk
Yani yeye yupo kivyake tu sijui kwanini na hadi sasa hajatoa kitabu hata kimoja anauza online tu
hahahaa " tulia hivyo hivyo " uta enjoy zaidi ...hajuagi kuharibu huyu ....."" story zake ni kama upo century cinemax unacheki "" JUMANJI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Madame we ulielewa kweli alichoandika labda asome mwenyewe angeelewa alichoandika jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata sikumuelewa nahisi atakua ana undugu na sky eclat kwa kuchapia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nadhani ukiwasiliana nae mwenyew itakuwa vizuri zaidi ili nae afaidike na jasho lake
Kuliko kutoa sifa tu huku mnagawiana bure
Inabidi Bahati Mwamba ashikamane nae aiseeeYah niemeona!! But Kelvin huwa anafikirisha zaidi tatizo pale anapotumia hata page mbili kuelezea sebule moja
Ila kiukweli huyu jamaa anajua kuliko neno kujua,japo anaboa kwa story ndefu sana so inahitaji uwe na muda wa ziada kufuatilia
Kingine sijui kwanini,wandishi wenzie hawampi sapoti kama wanavyosapotiana wao
Watu Kama
Maundu mwingizi Hussein tuwa,ibrahim gama,Fadhy mtanga,Inocent ndayance,beka mfaume,amri bawji,musa banzi nk
Yani yeye yupo kivyake tu sijui kwanini na hadi sasa hajatoa kitabu hata kimoja anauza online tu
hahahaa " tulia hivyo hivyo " uta enjoy zaidi ...hajuagi kuharibu huyu ....."" story zake ni kama upo century cinemax unacheki "" JUMANJI
Kwamba Kevin mponda au Patrick ndio anajitenga?Yah niemeona!! But Kelvin huwa anafikirisha zaidi tatizo pale anapotumia hata page mbili kuelezea sebule moja
Ila kiukweli huyu jamaa anajua kuliko neno kujua,japo anaboa kwa story ndefu sana so inahitaji uwe na muda wa ziada kufuatilia
Kingine sijui kwanini,wandishi wenzie hawampi sapoti kama wanavyosapotiana wao
Watu Kama
Maundu mwingizi Hussein tuwa,ibrahim gama,Fadhy mtanga,Inocent ndayance,beka mfaume,amri bawji,musa banzi nk
Yani yeye yupo kivyake tu sijui kwanini na hadi sasa hajatoa kitabu hata kimoja anauza online tu
Patrick hayupo kwenye ule umoja wa UWARIDIKwamba Kevin mponda au Patrick ndio anajitenga?
Hahaaa uchokozi huoInabidi Bahati Mwamba ashikamane nae aiseee
hahahaa " tulia hivyo hivyo " uta enjoy zaidi ...hajuagi kuharibu huyu ....."" story zake ni kama upo century cinemax unacheki "" JUMANJI
SawasawaHahaaa uchokozi huo
But tupo pamoja na ndo mwalimu wangu kiasi chake
Hata hii tayari ninayo kitambo tu.
Lakini anastahili kuwa karibu na magwiji wenzie sisi vichanga bado sana ndo tunaanza
Hayupo UWARIDIAiseee....kwani " hayupo WARIDI "...kama yupo why akose hiyo support"...... ila huyo maundu nae " mhhh""......nihatari nyingine pia
Basi ..hilo ndilo jibu ..la wahaka wako ""Hayupo UWARIDI
hatari sana.."" yaani sipati pictr yule jaji akiingia kwenye mkumbo wa kina Alfredo ..sipati pictr ile PC na Simu vikija Ku function....sipati picha huo mpambano kati ya chitas na dastan na jopo lake. sipati picha siku raisi yakimfika shingoni. sipati picha pande thadeo akijulikana anahusiana na Alfredo.. sipati picha kabisa Yani...
sijui watamgeuka raisi jamani make yule jaji alishaingiwa na imani na yule mzee Alfredo... ngoja tuone
cc Smart911