Mtepetallah JF-Expert Member Jun 30, 2016 230 131 Dec 26, 2016 #162 Nasubiri ikiisha ndiyo nitaanza kusoma
ABBYA Senior Member Mar 22, 2016 169 122 Dec 26, 2016 #163 Mtepetallah said: Nasubiri ikiisha ndiyo nitaanza kusoma Click to expand... Imeshaisha
kigongoi JF-Expert Member Apr 21, 2015 428 187 Jan 11, 2017 #165 Jamani kwema leo kikosi cha kisasi kipo nyakasagani blogspot Ila kule kwa mpiganaji blog kuna mateso balaa
Jamani kwema leo kikosi cha kisasi kipo nyakasagani blogspot Ila kule kwa mpiganaji blog kuna mateso balaa
Slave JF-Expert Member Dec 6, 2010 5,314 2,635 Feb 5, 2017 #168 Mkuu lete behind the scene kwanini Masai ahukumiwe wakati movie hili anaonekana ndie star? Bora ungelimalizia kwa masai kutokomea zake porini akiwacha wenzie mke na mtoto katika Hali ya amani
Mkuu lete behind the scene kwanini Masai ahukumiwe wakati movie hili anaonekana ndie star? Bora ungelimalizia kwa masai kutokomea zake porini akiwacha wenzie mke na mtoto katika Hali ya amani
successor JF-Expert Member Oct 25, 2012 3,078 6,125 Feb 5, 2017 #169 Daaaaah! hii kitu sio mchezo aiseeee
desertambush Senior Member Feb 16, 2016 110 62 May 31, 2017 #171 mtzmweusi said: sikuwa hewani kwa takribani 24 hrs kuna mzigo mwingine unaitwa "hofu" mkihitaji semeni tulianzishe Click to expand... Anzishaaa!
mtzmweusi said: sikuwa hewani kwa takribani 24 hrs kuna mzigo mwingine unaitwa "hofu" mkihitaji semeni tulianzishe Click to expand... Anzishaaa!
mnadhimu mkuu wa jf JF-Expert Member Mar 19, 2017 754 272 Jun 2, 2017 #174 Asante sana mkuu kazi nzuri
greybakuza JF-Expert Member Jan 8, 2016 897 1,273 Jun 4, 2017 #175 Strory nzuri sn lkn imeisha kizembe.
G GPP1922 JF-Expert Member Sep 8, 2019 533 532 Oct 13, 2020 #180 Kusoma hadithi ikiwa imekwisha raha sana mana hakuna cha arosto. Otherwise good job! Big up Sana kamanda
Kusoma hadithi ikiwa imekwisha raha sana mana hakuna cha arosto. Otherwise good job! Big up Sana kamanda