Riwaya: Bring back our girls

Hawa wananata kweli yani na wapo wengi humu wanaanzisha story na badae wanaanza kunata mara oooh simu yangu sahv haina uwezo Mara ooooh niliko huku mtandao unasumbua mala cjui nibi khaaaa kama hamtaki kuzileta hizo story si mkaushe tu au kama mnataka kuchangiwa si mseme tu tuchange..
 

Mbulula wewe
Huna pesa ya kunichangia
We pambana na hali yako
 
Yaani wanakeraa sana, nadhani hawamaliziagi kutunga ila wanakiherehere cha kuleta story ambazo hazijakamilika.

Ngoja niendelee kumsoma remuttuz kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…