Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,222
Nawashangaa watu mnapocomment nyuzi za huyu chizi
Acha mbwembwe, tuweke pesaVipi wewe Bukali.
Tuweke dau,wewe weka kishkizo cha shati,mimi naweka shamba la bibi la urithi, kwa Mkapa hautoki mtani.
Wana Yanga mnahela nyinyi?Acha mbwembwe, tuweke pesa
Mkuu jaribu kuficha ujinga, najua hauli kwa mwamed, pia mimi sili GSM, naweza kubeti kwa kiasi chochote atakacho weza.
Relax mtani.Mkuu jaribu kuficha ujinga, najua hauli kwa mwamed, pia mimi sili GSM, naweza kubeti kwa kiasi chochote atakacho weza.
wee chizi kweliNoma sana!
Ila cha kushangaza mara ya mwisho timu kutoka Nigeria kushiriki nusu fainali CAF ilikuwa miaka ya 90's huko.