River above the river

Its a CANAL over a RIVER.........

Asante mkuu,

The distinction between a canal and a river is that a river is a natural water body that encompasses a wide range of an area whereas a canal is a manmade channel on water that is built for the passage of goods.
 
Mkuu Safari ni Safari

Kuna wakati huwa najiuliza hawa Viongozi wetu wakiwa ziarani huko nje hawayaoni haya ? Kazi yao kubwa ni kuficha pesa visiwani tu,yaani tutabaki na aibu mpaka mwisho wa dunia hii kwakweli maana wenzetu wako mbali sana.
 
Na hawa ndo wamepinda kwelikweli


Gibraltar Airport is one of the most extraordinary airports around the world
 
Haya kwa wataalamu wa 'forecast', twambie itachukua miaka (msiseme karne tafadhali) mingapi Tz kufikia huko!
 
...dunia haiishi maajabu...
 
Mwenye picha ya uwanja wa mpira wa Ajax (Amsterdam) hatuwekee hapa. Huo uwanja nao umejengwa juu na chini magari yanakatiza kama kawaida.

Tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…