RITA wilaya ya Nyamagana - Mwanza ni shida

RITA wilaya ya Nyamagana - Mwanza ni shida

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Posts
27,970
Reaction score
35,211
Vipi wandugu na nyie huko kwenye wilaya zenu kuna changamoto za kukera kama zilizoko RITA kitengo cha Usajili wa Vizazi, Vifo na Ndoa wilaya ya Nyamagana mkoa wa Mwanza?

Serikali hebu fanyeni muajiri watumishi wenye weledi na elimu kwenye kitengo hicho. Hivi juu ya nini hasa, kuweka hao waliokuwa migambo ndio wahudumie wananchi? Kuna vijana wengi tu wasomi wenye sifa wanahangaika na bahasha zao mitaani kutafuta kazi, hebu fanyeni kuwaajiri hapo.

Wana lugha mbaya utadhani wako juu ya mbingu au hawaendi kukata gogo kama watu wengine

😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
 
Mimi huwa sitaki shida kwenye hizi ofisi za umma, nikitaka huduma naenda na shilingi elfu 5, wenyewe wananipigia njoo uchukue cheti tayari, Acha ubahiri.
 
Mimi huwa sitaki shida kwenye hizi ofisi za umma, nikitaka huduma naenda na shilingi elfu 5, wenyewe wananipigia njoo uchukue cheti tayari, Acha ubahiri.
sitoi hata mia moja, si wanalipwa mshahara
 
Back
Top Bottom