emmanuel mhecha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 933
- 543
Jamani wandugu ni kwamba ukifika Rita kuna fomu unapewa ili ujaze taarifa zako zote ikiwa hasa majina yatakoyowekwa ktk chet sasa cha ajabu unakuta chet kina majina tofauti,Je mhusika anayejaza taarifa nichenga,au kwa vile mjomba ni boss basis kawekwa tu bila vigezo,bado unakuta ofisi INA viti vinne lakini mtoa huduma mmoja na folen ya wateja mpaka kwenye Lift