Sio suala la sisi kuandika jina. Tulipeleka vyeti wakavihakiki wenyewe na kupiga mhuri. Iweje wajikanganye kwenye kuandika hayo majina waliyo hakiki wenyewe?
Sitasahau nilishaenda pale mara 16 ndani ya miezi 2 na bado sijafanikisha chochote. Ndipo nilipozungukia mlango wa nyuma nikapaata cheti ndani ya siku 3