Ukitafuta sana chanzo cha mkia, utashika 'mbolea'!
We kafanye kazi kama umesomea bana!
Risk za kazi fulani/yoyote ni dhana pana mno, ni relative, na context dependent!
Mtu wa stores wa Tanesco ana'face challenges tofauti na yule aliyeajiriwa stoo ya misheni kwa Baba Paroko!
usijisumbue bure kupoteza muda wako maana hata ukiitwa interview hutapita kwa u-shallow ulionao, Kama kuna wa kukubeba ili upate kazi hiyo ongea nae akubebe hata baada ya risk za stor ku-mature.