Meljons JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 3,105 Reaction score 1,410 Sep 17, 2013 #81 jingalao said: mkuu uko kwa wapi mimi niko hapa goodhope pub nasikia wahindi wamefunga ndoa! Click to expand... nlikuwa hapo philips mpaka kuja kuona angani presha ipo mbali sana.kumbe ndoa zao ni matata hivyo hawa wahindi.
jingalao said: mkuu uko kwa wapi mimi niko hapa goodhope pub nasikia wahindi wamefunga ndoa! Click to expand... nlikuwa hapo philips mpaka kuja kuona angani presha ipo mbali sana.kumbe ndoa zao ni matata hivyo hawa wahindi.
pantheraleo JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 693 Reaction score 889 Sep 17, 2013 #82 Banjoo katoka jela kufanya yake.
LiverpoolFC JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 11,496 Reaction score 3,389 Sep 17, 2013 #83 Meljons said: nlikuwa hapo philips mpaka kuja kuona angani presha ipo mbali sana.kumbe ndoa zao ni matata hivyo hawa wahindi. Click to expand... Mi cjui kwanini wanapewa ruksa ya kufanya hivyo tena kwa takrban nusu bila kukosea. Mi siifagilii hata kidogo halafu naonaga ni hapa A town tu ndiyo wanakuja kufungia hizo ndoa zao maana kila mwaka ni lazima utasikia milipuko kama hiyo.
Meljons said: nlikuwa hapo philips mpaka kuja kuona angani presha ipo mbali sana.kumbe ndoa zao ni matata hivyo hawa wahindi. Click to expand... Mi cjui kwanini wanapewa ruksa ya kufanya hivyo tena kwa takrban nusu bila kukosea. Mi siifagilii hata kidogo halafu naonaga ni hapa A town tu ndiyo wanakuja kufungia hizo ndoa zao maana kila mwaka ni lazima utasikia milipuko kama hiyo.
Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 12,932 Reaction score 25,476 Sep 17, 2013 #84 Chilisosi said: au makamanda wanagawana hela za ruzuku? Click to expand... Watakuwa vijana wa Kinana wapo kazini wanaua tembo.
Chilisosi said: au makamanda wanagawana hela za ruzuku? Click to expand... Watakuwa vijana wa Kinana wapo kazini wanaua tembo.
fyddell JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 12,873 Reaction score 24,475 Sep 17, 2013 #85 Mpaka sasa hivi inalia, mi niko sanawari hapa City garden bar nasikia. Ni baruti sio risasi
Rocket Senior Member Joined Apr 11, 2011 Posts 133 Reaction score 7 Sep 17, 2013 #86 mafia wamezidi kuwa wengi mno hapo