Risasi zarindima Arusha

yalikuwa mafataki pande za moshono .........
 
Mkuu chama, makamanda wakiona tumetia timu magwanda yote yatoka jasho.

Mkuu Ritz
Makamanda hawana nyimbo hasa hawa JF ni kama kaniki mbovu wapo humu kujifariji!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Jamni mlioko Arusha tujuzeni yaliyotokea huko mbona kimya?Risasi zilizokuwa zinarindima zilikuwa za nini?
 
Taarifa nilizothibitisha ni kuwa ni kishindo cha mafataki na risasi kupigwa hewani kule moshono kuashiria ufunguzi wa club cha usiku ambacho yule mama wa EOTF ana hisa mle.


Pale Stand uh?? Me nilijuaga Kanisa linajengwa.

Bonge ya Kitu
 
Pale Stand uh?? Me nilijuaga Kanisa linajengwa.

Bonge ya Kitu
dah nimejikuta nacheka tu

ila mazee kweli pesa makaratas kwa wengine ukiangalia mdude ulivyokaa,

so disco kila siku?
 
World Garden , moshono, Arusha

Owned by one Lekey Oisso (managing director of Oisso Enterprises - Uhuru road)

picha ya mjengo baadae kidogo. Kuna dogo anafanya kazi ya kupost kwa sasa

Ufunguzi rasmi Kesho (Valentines day). Jana ilikuwa soft opening tu.
 
Ni kwa sababu hawatujali sisi na afya zetu na ndiyo maana wanasema "The Rich get Richer and the poor go to hell" namaanisha hakuna anayemjali mtanzania wa kawaida
 
Pale Stand uh?? Me nilijuaga Kanisa linajengwa.

Bonge ya Kitu

umenena hata mimi nilipokuwa namuelekeza rafiki yangu juzi, nilimuambia niko hapa karibu na kanisa. ni balaa imejengwa muda mrefu mno.
 
Yamepigwa mafataki ya ukweli hapa mt.meru hotel kwenye mida ya 3 usiku huu. Imetupa shock sana mwanzoni mpaka kuja kujua ni hapo hotelini.
 
Yamepigwa mafataki ya ukweli hapa mt.meru hotel kwenye mida ya 3 usiku huu. Imetupa shock sana mwanzoni mpaka kuja kujua ni hapo hotelini.
mkuu uko kwa wapi mimi niko hapa goodhope pub nasikia wahindi wamefunga ndoa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…