naomba nikujibu hivi;
mfumo wa huduma ya afya ya ulaya na hapa bongo ni tofauti sana mwana jf
kwanza kuna vitu vifuatavyo
1.bongo hatuna vifaa vya kufanyia kazi mahospitalini(viongozi wetu wanaona bora wanunue mashangingi kuliko vifaa vya tiba)
2.kwa jinsi watoa huduma ya afya walivyokata tamaa na kazi yao ni vigumu ku-perform kama ulaya -wagonjwa wengi wataendelea kufa hata kama vifaa vikiwepo
3.bongo hatuna mfumo wauwazi katika kuhuduamia wagonjwa....mfano mgonjwa anaweza kuingizwa chumba cha upasuaji ukampasua ukachukua /ondoa cha kuondoa mgonjwa asijue
4.wagonjwa wa ulaya wanajua anaumwa nini ana meza dawa gani ,zina madhara gani,alifanyiwa nni wakati waoperation nk
5.dr.anawajibika kwa kifo cha mgonjwa labda aliyefanyiwa operation then akafa bongo walaaaa
kwahiyo bado sana kaka inabidi tubadiri sheria zetu