Kamarada
JF-Expert Member
- Jul 24, 2010
- 253
- 161
hii hapa
![]()
OMG, kumbe ww ni Mh. Meya wa Jiji la Dsm.....Hongera na Pole yako!!
hii hapa
![]()
dada usiogope. si unajua hapa jamvini mtu akiripoti ishu eti lete picha. basi nikawawekea. Picha ni picha.wacha kuogopesha serikali.
Wewe, hizi picha si za Rwanda hizi, ebo!
Wewe, hizi picha si za Rwanda hizi, ebo!
You are the Kings of Kings.Kenya?????
Sikujua! Kumbe Babati ni TOWN!
Karudie homework.Wewe, hizi picha si za Rwanda hizi, ebo!
BaelezeeeeeeeeeeeHiyo ni Babati ndugu yangu, acha ubishi.
Teheeeeteheeeeteeeeeeheee hii mkuu nimeipenda duhMkiletewa habari motomoto mnataka picha, mkiletewa picha mnataka video, mkiletewa video mnataka vichwa vya marehemu.