Ripoti za tume (Nyalali & Kisanga)

Kajuni

JF-Expert Member
May 27, 2009
486
186
Hi wana JF poleni kwa foleni juzi,jana na leo (Kwa waishio Dar)...msemo huu unanikumbusha wale tulio soma hizi shule za sikinde/Kayumba au vodafasta!!!!.
Wana JF hivi sasa tupo kwenye mjadala kuhusu katiba mpya, katiba ambayo tunategemea kama MOLA akipenda itadumu kwa miongo mitano ijayo au hata karne kama wenzetu huko Marekani na kwingineko. Hivyo basi ili kutusaidia katika kutafakali na kuchambua muswada ulio mbele yetu na kujaribu kutorudia rudia mambo yaliyo kwisha fanyiwa kazi na watangulizi wetu(to re-invent the wheel). Naomba kwa yeyote ambaye anaweza kutuwekea hizo ripoti zinazo usiana na mapendekezo ya katiba... sina hakika kama ni ripoti ya jaji kisanga au jaji Nyalali au nyinginezo muhimu in relation to constitutional writing/review. wadau tuwekeeni ili tuendelee kufikiri na kuchambua mambo ki JF. Naomba kuwakilisha.
 
Kanuni, repoti zote ulizotaji zinapatikana kwenye mtandao wa google. Ingiza search words zifuatazo, Justice Nyalali report/ripoti ya jaji Nyalali, Justice Kisanga report/ripoti ya jaji Kisanga. Binafsi nilishawahi kutumia hizo key words na nikapakua documents kwenye fomati ya PDF.
 
ok ngoja nizisake
 
Komba alisema warioba ni shida!
Hakujua kuwa ripoti ya warioba ni kama ripoti za wachambuzi wengne makini
Alimaanisha Nyalali ni shidaaa
Kisanga ni shidaaaa!
Aliwatusi miamba walio tukuka katika fani ya Law, Ambao sifa zao ni baraaa~bara miongoni mwa Vitivo. Komba ni muovu miongoni mwa waovu!
 
Back
Top Bottom